ADC: Hatuko tayari kujiunga na Ukawa
NA AZIZA MASOUD, TANGA
CHAMA cha siasa cha ADC, kimesema hakiwezi kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa kuwa umoja huo una lengo la kuua vyama vidogo vya siasa.
Akizungumza katika viwanja vya Kwediboma wilayani Kilindi, mkoani Tanga juzi, Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Said Miraji, alisema Ukawa wana lengo la kuvidhoofisha vyama vidogo kupitia mpango wao wa kugawana majimbo kwa sera ya maeneo wanayokubalika.
“Ukawa wameonyesha udhaifu mkubwa wa kugawana majimbo kwa hoja ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Seif: Hatuko tayari kujadili serikali mbili
11 years ago
Habarileo23 Jun
Tanzania iko tayari kujiunga na Umoja wa Fedha
TANZANIA iko tayari kuanza mchakato wa kujiunga na hatua ya Umoja wa Fedha wa Afrika Mashariki, ambao ni hatua ya tatu ya kufikia Umoja Kisiasa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
10 years ago
Habarileo08 Nov
ACT wakana kujiunga na Ukawa
CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimesema kinaingia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bila kuungana na chama chochote cha siasa kwa sababu wanaamini itikadi za vyama hivyo haiendani na itikadi yao.
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Lowassa atangaza rasmi kujiunga na Ukawa
10 years ago
Mwananchi14 May
ACT-Wazalendo waomba kujiunga Ukawa
10 years ago
Mtanzania16 Apr
ACT ipo tayari kushirikiana na Ukawa
Na Bakari Kimwanga, Singida
CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), kimesema kuwa kipo tayari kushirikiana na vyama vingine vya siasa kwa lengo la kuleta mapinduzi ya kiuchumi na kubomoa mfumo unaowanyonya wananchi
Kutokana na hali hiyo, kimewahakikishia Watanzania kuwa ujio wa chama hicho ni wa kuleta mageuzi ya kweli kwa taifa badala ya porojo kama vyama vingine vinavyofanya.
Akihutubia wananchi jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya...
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Balozi Mwapachu arudisha kadi atangaza kujiunga Ukawa
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/0wrC0YIEM8k/default.jpg)
11 years ago
Habarileo19 Apr
Sitta: Niko tayari kwa mazungumzo na Ukawa
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amesema ofisi yake ipo tayari kwa mazungumzo na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), ikiwa ni njia ya kuwezesha mchakato wa kutunga Katiba kuendelea kwa pamoja na kwa amani.