Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT ipo tayari kushirikiana na Ukawa

zito_kabweNa Bakari Kimwanga, Singida
CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), kimesema kuwa kipo tayari kushirikiana na vyama vingine vya siasa kwa lengo la kuleta mapinduzi ya kiuchumi na kubomoa mfumo unaowanyonya wananchi
Kutokana na hali hiyo, kimewahakikishia Watanzania kuwa ujio wa chama hicho ni wa kuleta mageuzi ya kweli kwa taifa badala ya porojo kama vyama vingine vinavyofanya.
Akihutubia wananchi jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Palestina ipo tayari kusitisha mapigano

Uongozi wa Palestina umependekeza makubaliano ya saa ishirini na nne ya kusitisha mapigano dhidi yake na Israel.

 

5 years ago

CCM Blog

TANZANIA IPO TAYARI KUPOKEA WATALII

  Na WAMJW- KilimanjaroWaziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ameweka wazi kuwa, Tanzania ipo tayari kupokea wageni kutoka sehemu yoyote Dunia kwa ajili ya utalii, kufuatia kuimarisha mifumo ya tahadhari zote za kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo leo katika ziara iliyomjumuisha Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ikiwa na lengo la kukagua utayari wa nchi katika kudhibiti ugonjwa wa Corona katika uwanja wa ndege wa KIA na...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA IPO TAYARI KUPOKEA WATALII - DKT. KIGWANGALLA


Na WAMJW- Kilimanjaro

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ameweka wazi kuwa, Tanzania ipo tayari kupokea wageni kutoka sehemu yoyote Dunia kwa ajili ya utalii, kufuatia kuimarisha mifumo ya tahadhari zote za kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.

Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo leo katika ziara iliyomjumuisha Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ikiwa na lengo la kukagua utayari wa nchi katika kudhibiti ugonjwa wa Corona katika uwanja wa ndege wa KIA na...

 

9 years ago

Mwananchi

Sheria inayolazimisha vizima moto nyumbani ipo tayari

Majanga ya moto yaliyotokea Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam katika kipindi cha miezi sita, yamesababisha huzuni na kuacha kumbukumbu mbaya, yenye maumivu kwa ndugu, jamaa na marafiki, baada ya watu 15 wa familia mbili kupoteza maisha ghafla kwa kuungua moto ndani ya nyumba walizokuwa wakiishi.

 

5 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA AMANA IPO TAYARI KUPOKEA WAGONJWA WA CORONA


NA ZAMARADI KAWAWA, MAELEZO, DAR ES SALAAMSerikali imehamisha wagonjwa wote waliokuwa wakipata huduma za afya katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es Salaam, Amana iliyopo Manispaa ya Ilala, ili kuanza kutekeleza jukumu la kutumia hospitali hiyo kutoa huduma za afya kwa wagonjwa wa Corona (COVID – 19).

Akizungumza na Watumishi wa hospitali hiyo mara baada ya kutembelea majengo yatakayotumika kuwalaza wagonjwa wa Corona (COVID-19), Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,...

 

10 years ago

Mwananchi

Vijana wanasema kesho haiji, leo ipo tayari

Viongozi wengi wa CCM bado wanaendelea kujidanganya kwamba chama hicho tawala bado kinapendwa sana kama ilivyokuwa enzi za chama kimoja. Si vibaya kujifariji, lakini upande wa pili ni vizuri wakakubali kuwa utafika muda ukweli utawaweka huru wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanasheria Mkuu: Ripoti ya mabilioni ya Uswisi ipo tayari

Kamati iliyoundwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kuchunguza mabilioni ya fedha yaliyofichwa na baadhi ya Watanzania katika benki mbalimbali nchini Uswisi, imekamilisha uchunguzi na inasubiri kukabidhi ripoti ya kazi hiyo kwa Spika wa Bunge.

 

9 years ago

Michuzi

MKWASA ASEMA STARS IPO TAYARI KUWAVAA NIGERIA KESHO

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, Charles Mkwasa (pichani) amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017.Akiongea na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa mikutano wa TFF uliopo Karume, Mkwasa amesema vijana wake wapo katika hali nzuri kuelekea kwenye mchezo huo wa kesho ambao ni muhimu kwa Taifa Stars.“Tumefanya mazoezi kwa takribani siku kumi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani