Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanasheria Mkuu: Ripoti ya mabilioni ya Uswisi ipo tayari

Kamati iliyoundwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kuchunguza mabilioni ya fedha yaliyofichwa na baadhi ya Watanzania katika benki mbalimbali nchini Uswisi, imekamilisha uchunguzi na inasubiri kukabidhi ripoti ya kazi hiyo kwa Spika wa Bunge.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAMATI YA PAC YAMTAKA WAZIRI MKUU, MWANASHERIA MKUU, WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WAWAJIBIKE KUHUSU RIPOTI YA TEGETA ESCROW

Waziri Mkuu Mizengo Pinda. WAZIRI MKUU - Kamati imesema imejiridhisha pasipo mashaka kuwa, Waziri Mkuu, alikuwa ana taarifa zote kuhusiana na mchakato mzima wa kuchotwa fedha kutoka katika akaunti ya ESCROW. -Kamati, kwa kuzingatia kielelezo namba 22, inathibitisha bila shaka kwamba, Waziri Mkuu alikuwa analijua jambo hili vizuri na kwamba aliridhia muamala huu ufanyike. Ndiyo maana katika maelezo yake ya
Bungeni mara kadhaa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mabilioni Uswisi yachotwa

Mabilioni ya shilingi yaliyowekwa na Watanzania katika benki za Uswisi yameanza kuhamishwa kimyakimya.

 

10 years ago

Raia Mwema

Zitto, mabilioni ya Uswisi na Yeremia 5:21

KUNA wakati, Mwenyezi Mungu ametumia lugha inayoweza kuonekana kali kupitia maandiko yake matakat

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabilioni ya Uswisi yaitesa serikali

SERIKALI imezidi kuweweseka juu ya kuweka hadharani taarifa ya Watanzania walioficha fedha nchini Uswisi, baada ya kamati  iliyoundwa na Bunge kushindwa kutoa taarifa yake na kuomba muda zaidi wa kujiandaa....

 

10 years ago

Vijimambo

Mabilioni yaliyofichwa Uswisi kutaifishwa.

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amekoleza moto wa sakata la mabilioni ya fedha zinazodaiwa kufichwa benki nchini Uswisi kwa kuzitaka mamlaka zinazochunguza, kuzitaifisha ili zitumike kutekeleza miradi ya maendeleo nchini.

Nchemba alitoa wito huo jana wakati akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Kumepambazuka kinachorushwa na Kituo cha Redio One nchini.

“Kuficha fedha nje ni uhujumu uchumi kwani fedha yeyote iliyofichwa nje ni lazima itakuwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Mabilioni yaliyofichwa Uswisi yachunguzwa

masajuElias Msuya na mashirika ya habari ya kimataifa
WAENDESHA mashtaka nchini Uswisi wamevamia katika ofisi za benki ya HSBC iliyopo Geneva na kuanza kuhoji madai ya fedha zilizopo kinyume na sheria katika benki hiyo.
Hivi karibuni mtandao wa Swiss Leaks chini ya Waandishi wa Habari za Uchunguzi wa Kimataifa (ICIJ) ulifichua kuwepo kwa Watanzania 99 wenye akaunti za siri nchini humo zenye zaidi ya Sh 205 bilioni na kwamba Tanzania ni nchi ya 100 kwa nchi zenye fedha nyingi nchini Uswisi.
Hata...

 

11 years ago

Mwananchi

Bado kuna maficho ya mabilioni Uswisi

Wakati kukiwa na taarifa zinazothibitisha kuendelea kwa utoroshaji wa fedha kwenda nje ya nchi, imebainika kuwa ni vigumu kumalizwa kwa tatizo hilo kutokana na ukweli kwamba uhai wa baadhi ya benki nchini Uswisi unategemea fedha haramu.

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto: Siwataji walioficha mabilioni Uswisi ng’o

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe amevunja ukimya na kusema hayuko tayari kwa sasa kuwataja Watanzania wenye mabilioni huko Uswisi na kuitaka Serikali ifanye uchunguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani