Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT yashindwa kumshawishi Nyari CCM yampitisha

JITIHADA za viongozi wa juu wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa na mkoani Arusha za kumshawishi mfanyabiashara wa madini Arusha, Justini Nyari kugombea kiti cha ubunge Jimbo la Arusha Mjini, zimeshindikana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

ACT-Tanzania kumshawishi Zitto kujiunga nao

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe ZittoMWANACHAMA wa chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), Dk Kitila Mkumbo, amesema atahakikisha anazungumza na viongozi wa chama hicho, ili wamshawishi mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, ajiunge na chama hicho.

 

9 years ago

GPL

CCM LUDEWA YAMPITISHA NGALAWA KUWANIA UBUNGE

Kada wa CCM, Deo Ngalawa. NGALAWA aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501. Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21) na Zephania Chaula (38). ...

 

9 years ago

Mwananchi

9 years ago

Mwananchi

CCM yampitisha mtoto wa Kigoda kugombea ubunge Handeni Mjini

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Handeni Mjini wamempigia kura na kumchagua tena mgombea ambae alishinda awali Omari Abdallah Kigoda katika uchaguzi uliofanyika wilayani humo leo baada ya kamati kuu ya CCM Taifa kutaka urudiwe.

 

10 years ago

Vijimambo

Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.

Kufuatia makundi mbalimbali yanayojitokeza kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kumshawishi kugombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatua hiyo itamfanya akose sifa za kugombea nafasi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...

 

10 years ago

Habarileo

Mollel kidedea Arusha, Nyari akataa matokeo

MCHUANO wa makada 12 wa CCM katika kuwania Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, umemalizika kwa kura za maoni kuamua kuwa, mfanyabiashara maarufu wa bidhaa za chakula, Philemon Mollel `Monaban’ ndiye mshindi. Hayo yamethibitishwa na Katibu wa CCM wilaya ya Arusha, Ferouz Banno aliyetangaza matokeo hayo jana.

 

10 years ago

Mwananchi

TLP yampitisha Mrema kugombea ubunge Vunjo

Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imempendekeza Mwenyekiti wa chama hicho, Augustine Mrema kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Vunjo.

 

11 years ago

TheCitizen

CCM: We’ll act on our pledges

CCM has vowed to ensure that its 2010 election manifesto is implemented accordingly.

 

10 years ago

Tanzania Daima

ACT: CCM imepuuza wananchi

CHAMA cha Alliance for Change and Transparance (ACT-Tanzania), kimeeleza kuwa kiburi cha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na dharau kwa Watanzania ndivyo vinawafanya wasione haja ya kujadili rasimu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani