JIMBO LA ILALA WATENGA MIL 300 KUKOPESHA WAJASILIAMALI
Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasili Jimbo la Ukonga kufanya mkutano wa kampeni eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) katika mkutano wa kampeni Jimbo la Ilala Viwanja vya Amana jijini Dar es Salaam.
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ilala, Mussa Hassan Zungu amemweleza mgombea...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog07 Sep
Jimbo la Ilala watenga Mil 300 kukopesha wajasiriamali
Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasili Jimbo la Ukonga kufanya mkutano wa kampeni eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam.
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ilala, Mussa Hassan Zungu amemweleza mgombea mwenza nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu kuwa jimbo hilo limetenga kiasi cha shilingi milioni 300 kwa ajili ya kuwakopesha wajasiriamali wanawake na vijana kupitia vikundi vyao.
Zungu aliyasema hayo alipokuwa akitoa...
10 years ago
Habarileo12 Oct
Muhimbili watenga mil 80/- za utafiti
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili imetenga Sh milioni 80 katika mwaka 2014/2015 kwa ajili ya kufanya utafiti kwa lengo la kuongeza ubora wa huduma zinazotolewa hospitalini hapo.
9 years ago
Habarileo29 Dec
Mbarali watenga mil 4.4/- kukarabati madaraja
HALMASHAURI ya wilaya ya Mbarali imelazimika kutenga Sh milioni 4.4 ikiwa ni bajeti ya dharura kwa ajili ya ukarabati wa madaraja mawili yaliyoharibika kufuatia mbao kuoza.
9 years ago
Vijimambo05 Sep
SERIKALI YA CCM KUTOA MIL 150 KILA KATA DAR KWA WAJASILIAMALI
![Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0785-Copy.jpg)
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Wema atumbua Mil.300
Wema Sepetu ‘Madam’.
Na Mwandishi Wetu
WEMA Sepetu ‘Madam’ ni mashine ya kutafuna fedha! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia habari za mjini kumtaja staa huyo wa Bongo Movies kuwa ameteketeza takriban Sh. Mil. 300 za mbunge ambaye anadaiwa kuwa ndiye anayemweka mjini kwa sasa, Risasi Mchanganyiko limenasa ubuyu kamili.
KUMBUKUMBU MUHIMU
Wema na mbunge huyo (jina kapuni kwa sasa) wanadaiwa kuwa walianzisha uhusiano wa kimapenzi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka...
11 years ago
Michuzi03 Apr
JERRY SILAA AGAWA DAWATI 300 KWA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA ILALA
![DSC_0638](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/DSC_0638.jpg)
![DSC_0645](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/DSC_0645.jpg)
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/DSC_0428.jpg?width=640)
JERRY SILAA AGAWA DAWATI 300 KWA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA ILALA
9 years ago
Bongo529 Sep
Meneja wa Q-Chief na MB Dog adai ameshatumia zaidi ya mil 300 kwa wasanii hao
10 years ago
Habarileo02 Nov
Kairuki aipatia Ilala vifaa tiba vya mil.65/-
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki ametoa msaada wa vifaatiba na vifaa vingine vya hospitali kwenye vituo vitano vya afya, vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 65. Amesema msaada huo ni mchango wake katika kuimarisha huduma za afya nchini.