Wema atumbua Mil.300
Wema Sepetu ‘Madam’.
Na Mwandishi Wetu
WEMA Sepetu ‘Madam’ ni mashine ya kutafuna fedha! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia habari za mjini kumtaja staa huyo wa Bongo Movies kuwa ameteketeza takriban Sh. Mil. 300 za mbunge ambaye anadaiwa kuwa ndiye anayemweka mjini kwa sasa, Risasi Mchanganyiko limenasa ubuyu kamili.
KUMBUKUMBU MUHIMU
Wema na mbunge huyo (jina kapuni kwa sasa) wanadaiwa kuwa walianzisha uhusiano wa kimapenzi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog07 Sep
Jimbo la Ilala watenga Mil 300 kukopesha wajasiriamali
Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasili Jimbo la Ukonga kufanya mkutano wa kampeni eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam.
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ilala, Mussa Hassan Zungu amemweleza mgombea mwenza nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu kuwa jimbo hilo limetenga kiasi cha shilingi milioni 300 kwa ajili ya kuwakopesha wajasiriamali wanawake na vijana kupitia vikundi vyao.
Zungu aliyasema hayo alipokuwa akitoa...
9 years ago
Vijimambo06 Sep
JIMBO LA ILALA WATENGA MIL 300 KUKOPESHA WAJASILIAMALI
![Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasili Jimbo la Ukonga kufanya mkutano wa kampeni eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0143.jpg)
![Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) katika mkutano wa kampeni Jimbo la Ilala Viwanja vya Amana jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0044.jpg)
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ilala, Mussa Hassan Zungu amemweleza mgombea...
9 years ago
Bongo529 Sep
Meneja wa Q-Chief na MB Dog adai ameshatumia zaidi ya mil 300 kwa wasanii hao
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PJuxWBht9blAFVidAGWNDc2mtilfYsIvxFM4tD7KTtajo9DAF3MTJA8h8G3SyxIe8RQXNTEuQTBu8KckK4qvb3q/UKOME.jpg?width=650)
WEMA: NAJUTA KUMLIPIA KAJALA MIL 13!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOQUWC*x15sp6bV7pJFfOylKgUMOZBQLNJrYRA37cQfVxlCNErCzStvkRNRjhoiWhyag2tf-EfAIRFbPc6UDw02Z/diamond.jpg?width=650)
DIAMOND KUMNUNULIA WEMA JUMBA LA MIL 125
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Kajala Atamani Kumlipa Wema Mil.13 Zake
Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ameibuka na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa shilingi milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake Wema Sepetu kama faini ili asiende jela miaka saba.
Akizungumza na gazeti la Amani, Kajala alisema kuwa huwa anaumia sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hicho chapesa ingawa uwezo wa kulipa anao.
“Huwa nateseka sana kila ninapokumbuka kuwa nilitolewa 13 japokuwa naaamini alitoka kwa mmoja,kinachoniuma muhusika...
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Magufuli atumbua Majipu 23
*Atengua uteuzi wa katibu Mkuu Uchukuzi, bosi Bandari
*Vigogo TPA wasimamishwa kazi, wawekwa chini ya ulinzi
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
MPANGO wa Rais Dk. John Magufuli wa kutumbua majipu, safari hii umegeuka na kung’oa vigogo 23 wa Mamkala ya Bandari (TPA) pamoja na kuvunja Bodi ya Wakurugenzi ya mamlaka hiyo.
Bodi hiyo ilikuwa na vigogo kadhaa akiwamo Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson na Mkurugenzi wa zamani wa Mamlaka ya Udhibiti ya Nishati na Maji (Ewura), Haruna Masebu.
Hatua ya...
9 years ago
Habarileo05 Dec
Magufuli atumbua jipu TFF
KASI ya utendaji wa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli imechukua sura mpya baada ya Mamlaka ya Kodi ya Mapato nchini (TRA) Mkoa wa Ilala kutia mguu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). TRA imezuia fedha kwenye akaunti zote za TFF ikiwa ni madai ya kulipwa kodi inayofikia Sh bilioni 1.6 kuanzia mwaka 2010 hadi 2013.
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Mapema asubuhi ya leo Dkt. Kingwangalla atumbua majipu ya watumishi wachelewaji wa Wizara ya Afya
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akiwaamrisha askari wa getini wizarani hapo kuweka kufuli na kutoruhusu mtumishi yoyote wa ofisi hiyo kuingia ndani ya ofisi za wizara ilipotimu saa 1:32 asubuhi mapema leo.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akisimamia zoezi la ufungwaji wa geti hilo, Kulia ni askari wa SUMA JKT akiweka kufuli...