Magufuli atumbua jipu TFF
KASI ya utendaji wa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli imechukua sura mpya baada ya Mamlaka ya Kodi ya Mapato nchini (TRA) Mkoa wa Ilala kutia mguu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). TRA imezuia fedha kwenye akaunti zote za TFF ikiwa ni madai ya kulipwa kodi inayofikia Sh bilioni 1.6 kuanzia mwaka 2010 hadi 2013.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Magufuli atumbua Majipu 23
*Atengua uteuzi wa katibu Mkuu Uchukuzi, bosi Bandari
*Vigogo TPA wasimamishwa kazi, wawekwa chini ya ulinzi
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
MPANGO wa Rais Dk. John Magufuli wa kutumbua majipu, safari hii umegeuka na kung’oa vigogo 23 wa Mamkala ya Bandari (TPA) pamoja na kuvunja Bodi ya Wakurugenzi ya mamlaka hiyo.
Bodi hiyo ilikuwa na vigogo kadhaa akiwamo Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson na Mkurugenzi wa zamani wa Mamlaka ya Udhibiti ya Nishati na Maji (Ewura), Haruna Masebu.
Hatua ya...
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Mhe.Magufuli, kuna hili jipu kubwa, nalo litumbue!
Rais John Pombe Magufuli.
LEO ni siku ya kwanza ya mwaka huu 2016, ikiwa ni zaidi ya takriban miezi miwili tangu kufanyika kwa uchaguzi mkuu ulioiweka madarakani serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli.
Wananchi wa kada zote, wameweka imani yao kwa serikali mpya, wakiamini itaweza kutatua kero nyingi zilizokuwa zikiwakabili katika nyanja mbalimbali za maisha yao ya kila siku.
Hakika, karibu katika kila sekta, kulikuwa na vitu ambavyo vilikuwa vinakera, vinaudhi na hata...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Wema atumbua Mil.300
Wema Sepetu ‘Madam’.
Na Mwandishi Wetu
WEMA Sepetu ‘Madam’ ni mashine ya kutafuna fedha! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia habari za mjini kumtaja staa huyo wa Bongo Movies kuwa ameteketeza takriban Sh. Mil. 300 za mbunge ambaye anadaiwa kuwa ndiye anayemweka mjini kwa sasa, Risasi Mchanganyiko limenasa ubuyu kamili.
KUMBUKUMBU MUHIMU
Wema na mbunge huyo (jina kapuni kwa sasa) wanadaiwa kuwa walianzisha uhusiano wa kimapenzi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka...
10 years ago
Mtanzania16 Sep
TFF yacharuka Cannavaro kumnadi Magufuli
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limewapiga marufuku wanafamilia wake kuelezea hisia zao za kisiasa au kujihusisha katika kampeni za kisiasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mchezo huo.
TFF imechukua hatua hiyo baada ya kubaini kuwepo kwa vitendo vya wanafamilia wake kujihusisha na masuala ya siasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mpira ambayo yana nembo za klabu na wadhamini wa ligi.
Mmoja wa wachezaji waliofanya kitendo hicho ni nahodha wa timu ya Yanga na...
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Mapema asubuhi ya leo Dkt. Kingwangalla atumbua majipu ya watumishi wachelewaji wa Wizara ya Afya
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akiwaamrisha askari wa getini wizarani hapo kuweka kufuli na kutoruhusu mtumishi yoyote wa ofisi hiyo kuingia ndani ya ofisi za wizara ilipotimu saa 1:32 asubuhi mapema leo.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akisimamia zoezi la ufungwaji wa geti hilo, Kulia ni askari wa SUMA JKT akiweka kufuli...
9 years ago
Michuzi18 Dec
MAPEMA ASUBUHI YA LEO DKT. KINGWANGALLA ATUMBUA MAJIPU YA WATUMISHI WACHELEWAJI WA WIZARA YA AFYA



10 years ago
Mwananchi12 Nov
Ruge apasua jipu
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Zitto apasua jipu
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amesema hana chuki na yeyote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Zitto, alisema baadhi ya watu wanafikiri ana chuki na viongozi wenzake...
10 years ago
GPL
MKE MTARAJIWA APASUA JIPU