TFF yacharuka Cannavaro kumnadi Magufuli
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limewapiga marufuku wanafamilia wake kuelezea hisia zao za kisiasa au kujihusisha katika kampeni za kisiasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mchezo huo.
TFF imechukua hatua hiyo baada ya kubaini kuwepo kwa vitendo vya wanafamilia wake kujihusisha na masuala ya siasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mpira ambayo yana nembo za klabu na wadhamini wa ligi.
Mmoja wa wachezaji waliofanya kitendo hicho ni nahodha wa timu ya Yanga na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Mkapa, chopa nne kumnadi Magufuli
9 years ago
Habarileo02 Dec
Mrema asema hajutii kumnadi Rais Magufuli
MWENYEKITI wa Taifa wa chama cha siasa cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema amesema hakufanya makosa na wala hajutii kumnadi Rais John Magufuli kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa sababu alitambua Watanzania wamelamba dume la maendeleo.
9 years ago
StarTV25 Aug
Samia Suluhu Hassan aanza kumnadi Magufuli Same
Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya kampeni za kumnadi Mgombea Urais kupitia CCM Dokta John Pombe Magufuli na kueleza Ilani ya Chama hicho.
Mkutano wa kwanza wa mgombea huyo mwenza umeanzia katika Kijiji cha Hedaru wilayani Same mkoani Kilimanjaro ambapo wakazi wa kijiji hicho wamemweleza mgombea huyo tatizo la maji linalowakabili.
Samia Suluhu Hassan ameanza kampeni zake kwa kutembelea Hospitali ya Hedaru na kuangalia changamoto kwenye...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3ydo-rPuK9pB5Rm2diMUOulqt6Jq9ZUZXYeWga-q2eyGeAcNDGCa3kLT4jFzK0Mp-lXpfgth1f*EDaQ2bDFVphkAp6P-AJGP/Cannavaro2.jpg?width=750)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6MgXzqQGy3lz4UiN-3khvqxM1uxigMPxNPEOJvL7ojwCQWZ9kFoKSP8b35A5u5*jE7ONGPXmh8pOAKM9sQ*TOwutEczYOyWR/Cannavaro2.jpg)
9 years ago
Vijimambo21 Sep
11 years ago
Habarileo16 Jan
TANESCO yacharuka
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limeanzisha operesheni maalumu ya kukusanya madeni yanayofikia Sh bilioni 233, ambapo wateja watakaokaidi zikiwamo taasisi za umma na binafsi, zitakatiwa umeme. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Felchesmi Mramba alisema kati ya fedha hizo, Sh bilioni 129 ni za taasisi za Serikali ikiwamo Zanzibar inayodaiwa Sh bilioni 70 na Sh bilioni 104 watu, taasisi binafsi na viwanda.
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Aug
UVCCM yacharuka
NA WAANDISHI WETU MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Anthony Mavunde, amesema Tanzania haiwezi kuendeshwa na watu wanne wanaojiita viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na kwamba hoja zao hazina mashiko. Amewataka wananchi wasidanganyike na kukubali kushiriki katika maandamano yanayoandaliwa na viongozi hao kwa sababu hayana tija kwao na taifa kwa ujumla kwani yanalenga kuhatarisha amani na mshikamano uliopo nchini. Mavunde aliyasema hayo juzi alipokuwa akizungumza na...
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
CHADEMA yacharuka Kalenga
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeweza kujipenyeza katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge wa Kalenga, kikiwa kimefanya mikutano 157 katika kata 13 ndani ya siku 10 tangu kuanza...