TANESCO yacharuka
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limeanzisha operesheni maalumu ya kukusanya madeni yanayofikia Sh bilioni 233, ambapo wateja watakaokaidi zikiwamo taasisi za umma na binafsi, zitakatiwa umeme. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Felchesmi Mramba alisema kati ya fedha hizo, Sh bilioni 129 ni za taasisi za Serikali ikiwamo Zanzibar inayodaiwa Sh bilioni 70 na Sh bilioni 104 watu, taasisi binafsi na viwanda.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Aug
UVCCM yacharuka
NA WAANDISHI WETU MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Anthony Mavunde, amesema Tanzania haiwezi kuendeshwa na watu wanne wanaojiita viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na kwamba hoja zao hazina mashiko. Amewataka wananchi wasidanganyike na kukubali kushiriki katika maandamano yanayoandaliwa na viongozi hao kwa sababu hayana tija kwao na taifa kwa ujumla kwani yanalenga kuhatarisha amani na mshikamano uliopo nchini. Mavunde aliyasema hayo juzi alipokuwa akizungumza na...
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
CHADEMA yacharuka Kalenga
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeweza kujipenyeza katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge wa Kalenga, kikiwa kimefanya mikutano 157 katika kata 13 ndani ya siku 10 tangu kuanza...
9 years ago
Mtanzania16 Sep
TFF yacharuka Cannavaro kumnadi Magufuli
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limewapiga marufuku wanafamilia wake kuelezea hisia zao za kisiasa au kujihusisha katika kampeni za kisiasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mchezo huo.
TFF imechukua hatua hiyo baada ya kubaini kuwepo kwa vitendo vya wanafamilia wake kujihusisha na masuala ya siasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mpira ambayo yana nembo za klabu na wadhamini wa ligi.
Mmoja wa wachezaji waliofanya kitendo hicho ni nahodha wa timu ya Yanga na...
10 years ago
Habarileo12 Dec
Mahakama sasa yacharuka, yataka ripoti ya Maranda
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashitaka kuandika barua kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (MOI) kupata taarifa za maendeleo ya kiafya ya Kada wa CCM, Rajabu Maranda.
11 years ago
GPLMBEYA CITY YACHARUKA ISHU YA KOCHA WAO KUJENGEWA NYUMBA NA AZAM FC
10 years ago
Mwananchi12 Dec
Marekani yacharuka escrow;Tanzania yakosa mabilioni ya MCC, ni Dola 450 milioni