Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama sasa yacharuka, yataka ripoti ya Maranda

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashitaka kuandika barua kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (MOI) kupata taarifa za maendeleo ya kiafya ya Kada wa CCM, Rajabu Maranda.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Afya ya Maranda sasa yatetereka, alazwa Moi

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajabu Maranda, anayetumikia kifungo cha miaka 18 gerezani kwa wizi wa fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje (Epa) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akisumbuliwa na tatizo la mgongo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kamati yataka ripoti ya IPTL

KAMATI ya Uchumi, Viwanda na Biashara, imeitaka Serikali kuwasilisha taarifa ya uchunguzi wa sh. milioni 200 za IPTL katika vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza wiki hii, mkoani Dodoma. Akizungumza na...

 

10 years ago

Mtanzania

Mahakama yataka Rais wa Sudan akamatwe

omar-bashirJOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI
MAHAKAMA Kuu yaAfrika Kusini imetoa amri ya muda ya kumzuia Rais wa Sudan, Omar al Bashir anayehudhuria kikao kilichoanza jana cha viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) kutoondoka nchini humo.
Mahakama hiyo imemuagiza al-Bashir abakie hadi leo wakati itakaposikiliza kesi inayoitaka iiamrishe Serikali ya Afrika Kusini kumkamata kiongozi huyo i akajibu mashitaka yanayomkabili katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) ya mjini Hague, Uholanzi.
Mapema jana,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya uchochezi Z’bar mahakama yataka vielelezo

MAHAKAMA Kuu ya Vuga mjini Zanzibar imeutaka upande wa mashtaka kuwasilisha vielelezo na maelezo ya ushahidi vitakavyotumika katika kesi inayowakabili viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na mihadhara ya Kiislamu.  Watuhumiwa hao...

 

10 years ago

Mwananchi

Ripoti ya uamuzi wa mahakama Burundi yakamilika

Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamepokea na kujadili ripoti ya hali ya kisiasa ya Burundi iliyotolewa na wanasheria waliotumwa nchini humo kuchunguza namna Mahakama Kuu ilivyofikia uamuzi wa kumruhusu Rais Pierre Nkurunziza kuwania kiti hicho kwa awamu ya tatu.

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama ya Kadhi, ripoti ya Msolla kutikisa Bunge

Spika wa Bunge, Anna Makinda.BUNGE linaendelea na mkutano wake wa 18, ambao kamati mbalimbali zitaendelea kuwasilisha taarifa kwa ajili ya majadiliano. Licha ya kamati za kisekta na zisizo za kisekta, kabla ya Bunge kuahirishwa wiki hii, pia Kamati Teule iliyoundwa kuchunguza na kuchambua Sera mbalimbali zinazohusu masuala ya ardhi, kilimo, mifugo, maji na uwekezaji kubaini kasoro zilizomo katika matumizi ya ardhi, pia itawasilisha taarifa yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wawe wamoja mijadala kuhusu Ripoti ya CAG, Mahakama ya Kadhi

Bunge jana lilianza mkutano wake wa 18 mjini Dodoma likiwa na masuala mengi mazito katika ajenda yanayopaswa kujadiliwa katika muda mfupi tu wa wiki mbili. Hicho ni kikao chake cha kwanza mwaka huu, ambacho kinakuja baada ya mkutano wake wa 16/17 uliofanyika Novemba mwaka jana na kugubikwa na mjadala mkali kuhusu uchotwaji wa fedha kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow. Baadhi ya watendaji serikalini wamefikishwa mahakamani, huku mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa Serikali wakijiuzulu.

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA sasa kuchapisha ripoti ya Garcia

Maafisa wa FIFA wamekubaliana kuchapisha ripoti kuhusu uchunguzi wa madai ya ufisadi wa kandarasi za kombe la dunia 2018 na 2022

 

11 years ago

Mwananchi

Operesheni ya ujangili yaundiwa mahakama sasa

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema mchakato wa kuwapata wajumbe wa Tume ya Kimahakama ya Kuchunguza Madhara ya Operesheni Tokomeza Ujangili umeshaanza na majina hayo yatawekwa wazi hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani