Operesheni ya ujangili yaundiwa mahakama sasa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema mchakato wa kuwapata wajumbe wa Tume ya Kimahakama ya Kuchunguza Madhara ya Operesheni Tokomeza Ujangili umeshaanza na majina hayo yatawekwa wazi hivi karibuni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Uchunguzi operesheni ya ujangili kuanza
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Wezi wa fedha za Operesheni Ujangili washughulikiwe
WAKATI serikali ikitangaza kuwa deni la taifa limepanda kiasi cha kufikia shilingi trilioni 27, hivyo kuzusha hofu kwa Watanzania, habari za kusikitisha zimeeleza kuwa takriban sh bilioni nne zilizotolewa kugharimia...
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
UNYAMA, UBAKAJI NA MAUAJI: Operesheni Tokomeza Ujangili
OPERESHENI Tokomeza Ujangili imedhihirisha kwamba Tanzania imegeuka Guantanamo na imeacha kuwa ‘kisiwa cha amani’. Hakuna anayefurahia vitendo vya ujangili na uharibifu unaofanywa na majangili dhidi ya mazingira ya asili na...
11 years ago
Mwananchi03 May
JK aunda Tume kuchunguza Operesheni Tokomeza Ujangili
10 years ago
Mwananchi11 Apr
Rais akabidhiwa ripoti ya Operesheni Tokomeza Ujangili
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Operesheni Tokomeza Ujangili imeongeza idadi ya walemavu
OPERESHENI Tokomeza Ujangili iliyoendeshwa kinyama, imesababisha ulemavu kwa baadhi ya wananchi. Ilikuwa ikiendeshwa na askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), polisi...
11 years ago
Mwananchi28 Dec
Shindikilagi ya Sungusungu ilivyotumika kwa mauaji ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’
10 years ago
Michuzi10 Sep