Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya uchochezi Z’bar mahakama yataka vielelezo

MAHAKAMA Kuu ya Vuga mjini Zanzibar imeutaka upande wa mashtaka kuwasilisha vielelezo na maelezo ya ushahidi vitakavyotumika katika kesi inayowakabili viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na mihadhara ya Kiislamu.  Watuhumiwa hao...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ponda aomba kesi ya uchochezi isimamishwe

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Issa Ponda ameomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani Morogoro.

 

11 years ago

Mwananchi

Makunga, Kibanda washinda kesi ya uchochezi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Meneja Uendelezaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Theophil Makunga, Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda na Samson Mwigamba katika kesi ya makala ya uchochezi iliyokuwa ikiwakabili.

 

11 years ago

GPL

MAKUNGA, KIBANDA, MWIGAMBA WASHINDA KESI YA UCHOCHEZI

Theophil Makunga.
Absalom Kibanda.…

 

5 years ago

Michuzi

HUKUMU YA KESI YA UCHOCHEZI INAYOWAKABILI VIONGOZI CHADEMA KUTOLEWA MACHI 10, 2020

Na Karama Kenyunko, globu ya jamii
MAHAKAMA Ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 10, mwaka huu kutoa hukumu ya kesi ya uchochezi dhudi ya viongozi nane wa Chadema akiwemo  Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho,Dk.Vicent Mashinji ambaye hivi karibuni  amehamia CCM.
 Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba amesema sheria inaelekeza pande zote kufanya majumuisho ili kuisaidia mahakama kutoa uamuzi kwa kuangalia masuala ya kisheria yaliyoibuliwa wakati wa...

 

9 years ago

StarTV

 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.

Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.

Baada ya uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Mtanzania

Mahakama yataka Rais wa Sudan akamatwe

omar-bashirJOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI
MAHAKAMA Kuu yaAfrika Kusini imetoa amri ya muda ya kumzuia Rais wa Sudan, Omar al Bashir anayehudhuria kikao kilichoanza jana cha viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) kutoondoka nchini humo.
Mahakama hiyo imemuagiza al-Bashir abakie hadi leo wakati itakaposikiliza kesi inayoitaka iiamrishe Serikali ya Afrika Kusini kumkamata kiongozi huyo i akajibu mashitaka yanayomkabili katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) ya mjini Hague, Uholanzi.
Mapema jana,...

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama sasa yacharuka, yataka ripoti ya Maranda

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashitaka kuandika barua kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (MOI) kupata taarifa za maendeleo ya kiafya ya Kada wa CCM, Rajabu Maranda.

 

10 years ago

Mwananchi

Mufti Z’bar afunguka Mahakama ya Kadhi

>Ofisi ya Mufti Zanzibar imesema haikuwa mwafaka Serikali kuunyofoa muswada wa kuanzisha Mahakama ya Kadhi uliokuwa uwasilishwe bungeni, ili yafanyike maridhiano kwanza.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanasheria wapinga kufutwa kesi Z’bar

>Siku tano tangu Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othmana Makungu afute kesi ya kuzama kwa Meli ya Mv Spice Islanders, wanasheria wameibuka na kusema haikuwa mwafaka kesi hiyo kufutwa kwa sababu ya hati ya mashtaka kutowasilisha kwa wakati mahakamani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani