HUKUMU YA KESI YA UCHOCHEZI INAYOWAKABILI VIONGOZI CHADEMA KUTOLEWA MACHI 10, 2020
Na Karama Kenyunko, globu ya jamii
MAHAKAMA Ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 10, mwaka huu kutoa hukumu ya kesi ya uchochezi dhudi ya viongozi nane wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho,Dk.Vicent Mashinji ambaye hivi karibuni amehamia CCM.
Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba amesema sheria inaelekeza pande zote kufanya majumuisho ili kuisaidia mahakama kutoa uamuzi kwa kuangalia masuala ya kisheria yaliyoibuliwa wakati wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMashinji akutana na viongozi Chadema,Hukumu yao sasa Machi 10
Mashinji amefika mahakamani hapo kisha akaanza kusalimiana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA ambao wapo katika kesi moja ambapo miongoni mwao ni Mbunge wa Bunda, Ester Bulaya, Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Mbunge wa...
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Kesi ya Mawazo kutolewa hukumu leo
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
JAJI wa Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, Lameck Mlacha, anatarajia kutoa hukumu juu ya mvutano wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Geita marehemu Alphonce Mawazo jijini Mwanza.
Jaji Mlacha anatarajia kutoa hukumu hiyo leo saa saba mchana baada ya pande zote mbili kueleza hoja zao.
Mawakili wa Serikali, Seth Mkemwa na Emilly Kilia ambao wanamtetea Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza, Charles Mkumbo aliyezuia...
5 years ago
BBCSwahili29 May
Zitto Kabwe kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kutokutoa matamshi ya uchochezi
10 years ago
StarTV30 Mar
Hukumu ya Badweli kutolewa Aprili 29.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam.
Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam itatoa hukumu ya Kesi ya rushwa inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Bahi mkoani Dodoma Omary Badweli Aprili 29, mwaka huu.
Badwel anakabiliwa na shitaka la rushwa ambalo anadaiwa kutenda kati ya Mei 30 na Juni 2, 2012, katika maeneo tofauti mkoani Dar es Salaam ambapo alishawishi apewe rushwa ya Shilingi Milioni 1 kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Sipora Liana.
Kesi hiyo ambayo imedumu...
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
Hukumu ya Muslim Brotherhood kutolewa
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Hukumu ya Alexei Navalny kutolewa leo
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Hukumu ya watia nia CCM kutolewa hapa
10 years ago
Habarileo02 Sep
Ponda aomba kesi ya uchochezi isimamishwe
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Issa Ponda ameomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani Morogoro.
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Makunga, Kibanda washinda kesi ya uchochezi