Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashinji akutana na viongozi Chadema,Hukumu yao sasa Machi 10

IKIWA ni siku Chache tangu kukihama Chama cha Chadema na kuhamia CCM leo Februari 24,2020 aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk.Vincent Mashinji amekutana na viongozi wa chama hicho katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi yao ya uchochezi inayowakabili.

Mashinji amefika mahakamani hapo kisha akaanza kusalimiana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA ambao wapo katika kesi moja ambapo miongoni mwao ni Mbunge wa Bunda, Ester Bulaya, Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Mbunge wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

HUKUMU YA KESI YA UCHOCHEZI INAYOWAKABILI VIONGOZI CHADEMA KUTOLEWA MACHI 10, 2020

Na Karama Kenyunko, globu ya jamii
MAHAKAMA Ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 10, mwaka huu kutoa hukumu ya kesi ya uchochezi dhudi ya viongozi nane wa Chadema akiwemo  Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho,Dk.Vicent Mashinji ambaye hivi karibuni  amehamia CCM.
 Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba amesema sheria inaelekeza pande zote kufanya majumuisho ili kuisaidia mahakama kutoa uamuzi kwa kuangalia masuala ya kisheria yaliyoibuliwa wakati wa...

 

5 years ago

Michuzi

ALIYEKUWA KATIBU MKUU CHADEMA DK.MASHINJI ATUA CCM ...ATOA SABABU


Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii
AMETUA CCM!Hivyo ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk.Vicent Mashinji kutangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi(CCM).

DK.Mashinji aliyejiondoa Chadema Desemba mwaka 1919 amefikia uamuzi wa kujiunga CCM leo Februari 18, mwaka 2020 ambapo akitangaza uamuzi huo akiwa Ofisi ndogo za CCM  zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam akiwa amepokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi Humphrey...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS WA BUNGE LA ULAYA AKUTANA NA VIONGOZI WA CHADEMA NCHINI UBELGIJI

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demoikrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Profesa Abdalla Safari na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu wakiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya (EP), Rainer Wieland, wakati ujumbe wa CHADEMA ulipofika Ofisi za EP kuanza ziara ya kikazi kufuatia mwaliko wa bunge hilo.Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya (EP), Rainer Wieland akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum...

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: ALIYEKUWA KATIBU MKUU TAIFA WA CHADEMA DKT MASHINJI AHAMIA CCM.

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vincent Mashinji ametangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Februari 18, Ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Hukumu ya Mbasha sasa J’tatu

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imepanga Jumatatu ijayo kutoa hukumu dhidi ya mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Emmanuel Mbasha (32) anayekabiliwa na mashitaka mawili ya kubaka.

 

11 years ago

Mwananchi

Pambano la Cheka sasa kufanyika Machi 1

Bondia Francis ‘SMG’ Cheka ameumia mkono wakati akifanya mazoezi ya kupigana na mdogo wake Cosmas hivyo kulazimika pambano lake na Valery Brudov wa Russia kusogezwa hadi Machi Mosi.

 

11 years ago

Michuzi

Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema

 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani