Hukumu ya Badweli kutolewa Aprili 29.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam.
Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam itatoa hukumu ya Kesi ya rushwa inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Bahi mkoani Dodoma Omary Badweli Aprili 29, mwaka huu.
Badwel anakabiliwa na shitaka la rushwa ambalo anadaiwa kutenda kati ya Mei 30 na Juni 2, 2012, katika maeneo tofauti mkoani Dar es Salaam ambapo alishawishi apewe rushwa ya Shilingi Milioni 1 kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Sipora Liana.
Kesi hiyo ambayo imedumu...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
Hukumu ya Muslim Brotherhood kutolewa
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Kesi ya Mawazo kutolewa hukumu leo
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
JAJI wa Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, Lameck Mlacha, anatarajia kutoa hukumu juu ya mvutano wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Geita marehemu Alphonce Mawazo jijini Mwanza.
Jaji Mlacha anatarajia kutoa hukumu hiyo leo saa saba mchana baada ya pande zote mbili kueleza hoja zao.
Mawakili wa Serikali, Seth Mkemwa na Emilly Kilia ambao wanamtetea Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza, Charles Mkumbo aliyezuia...
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Hukumu ya Alexei Navalny kutolewa leo
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Hukumu ya watia nia CCM kutolewa hapa
10 years ago
Habarileo20 Mar
Hukumu ya Mbunge wa Bahi Aprili 29
HUKUMU ya kesi ya kuomba na kupokea rushwa inayomkabili Mbunge wa Bahi (CCM), Omary Badwel inatarajia kutolewa Aprili 29, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
10 years ago
GPL
HUKUMU DNA MTOTO WA NAY APRILI 8
5 years ago
Michuzi
HUKUMU YA KESI YA UCHOCHEZI INAYOWAKABILI VIONGOZI CHADEMA KUTOLEWA MACHI 10, 2020

MAHAKAMA Ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 10, mwaka huu kutoa hukumu ya kesi ya uchochezi dhudi ya viongozi nane wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho,Dk.Vicent Mashinji ambaye hivi karibuni amehamia CCM.
Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba amesema sheria inaelekeza pande zote kufanya majumuisho ili kuisaidia mahakama kutoa uamuzi kwa kuangalia masuala ya kisheria yaliyoibuliwa wakati wa...
10 years ago
Michuzi
kenya yapiga hatua katika kutambua watu wenye jinsia mbili baada ya hukumu ya kihistoria kutolewa

Wakati alipozaliwa mtoto huyo, wafanyakazi wa hospitali waliweka alama ya kuuliza penye kisanduku cha jinsia kwenye fomu ya uzazi mwaka 2009 baada ya kushindwa kuamua kama ni wa kike ama wa kiume.Wakili wa mtoto huyo ameeleza kufurahishwa na hukumu hiyo akisema ni hatua moja kwenda mbele katika kutambua watu wenye jinsia mbili wanaojulikana...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Ester Kiama kutolewa kizazi
Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama
Na Imelda Mtema
MASKINI! Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama, huenda akatolewa kizazi baada ya madaktari kugundua uvimbe mkubwa unaosababisha kupatwa na maumivu ya mara kwa mara.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi huku mwili wake ukionekana kupungua, Ester alisema amekuwa akipata maumivu makali ya tumbo kiasi ambacho wakati mwingine hupoteza fahamu kabisa kabla ya kuamua kwenda Hospitali ya Aga Khan kutibiwa.
“Jamani nilikuwa naumwa sana tumbo,...