HUKUMU DNA MTOTO WA NAY APRILI 8
![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJKJug9BgEIlvGu2aLy3g5nQdmCkbUg16B9dg5xZC-G3XZwtPn9hrPwqDktprRj0JiGMeQCRndlCt3ZLc60r6l88/Nayi.jpg?width=650)
Mwandishi wetu LILE sakata la mtoto si wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mujibu wa madai yaliyotolewa na mzazi mwenzake, Siwema limeingia hatua nyingine baada ya ofisi ya mkemia mkuu wa serikali kusema majibu kamili ya kipimo cha vinasaba ‘DNA’ yatatolewa Aprili 8, mwaka huu. Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa na mzazi mwenzake Siwema pamoja na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG9Tc3R5oTKjxIvG6VQMJC3*F2TwRCua5w4KKomh-PLxEgd5ieTIDCKfPaW*yBN0Dc5H6nmWca8PzJwL--M0eowS/Ney.jpg?width=650)
UTATA MTOTO WA NAY NA SIWEMA, MAJIBU YA DNA YAMALIZA UBISHI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qhmaNpdkdBtSOvhE6VMIInDdZjgkTk-lSNh3Nzqu*9oyiF78fSBTd2nOfTUe4pK0QQOhxNbvf5P1lXZKdI4sgjGBZw*I0szv/2.jpg?width=650)
NAY: NIPO TAYARI KUPIMA DNA
10 years ago
Habarileo20 Mar
Hukumu ya Mbunge wa Bahi Aprili 29
HUKUMU ya kesi ya kuomba na kupokea rushwa inayomkabili Mbunge wa Bahi (CCM), Omary Badwel inatarajia kutolewa Aprili 29, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
10 years ago
StarTV30 Mar
Hukumu ya Badweli kutolewa Aprili 29.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam.
Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam itatoa hukumu ya Kesi ya rushwa inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Bahi mkoani Dodoma Omary Badweli Aprili 29, mwaka huu.
Badwel anakabiliwa na shitaka la rushwa ambalo anadaiwa kutenda kati ya Mei 30 na Juni 2, 2012, katika maeneo tofauti mkoani Dar es Salaam ambapo alishawishi apewe rushwa ya Shilingi Milioni 1 kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Sipora Liana.
Kesi hiyo ambayo imedumu...
9 years ago
MillardAyo22 Dec
VIDEO: Nay wa Mitego na ukweli wa DNA 2015, kawaongelea pia Shamsa FORD na Chagga Barbie
2015 ulikua ni mwaka wa headlines za mapenzi pia kwa staa mwingine kutoka kwenye bongofleva, Nay wa Mitego ambaye alikutwa na makubwa mpaka kuamua kwenda kufanya vipimo vya DNA ili kujua kama mtoto ni wake au wa Mwanaume mwingine, pia siku kadhaa baadae akawa mapenzini na staa wa movie Shamsa Ford, ukweli wote upo kwenye […]
The post VIDEO: Nay wa Mitego na ukweli wa DNA 2015, kawaongelea pia Shamsa FORD na Chagga Barbie appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Ishu ya DNA ya baba na mtoto ilivyoleta Hekaheka Dar… (+Audio)
Kama umekuwa mfatiliaji wa stori za Magazetini wiki iliyopita kulikuwa na stori kubwa ambayo ilitawala sana kuhusu ishu ya ripoti za vipimo vya DNA kuwa kati ya walioenda kupima DNA imeonesha 49% ya watoto wanalelewa na baba ambao sio baba wazazi. Baba wa mtoto huyo amesimulia kwamba hakupendezwa na kitendo cha dada mmoja anayeuza duka la […]
The post Ishu ya DNA ya baba na mtoto ilivyoleta Hekaheka Dar… (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/ZIq26mu5g0c/default.jpg)
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Wauza unga TZ? majibu ya DNA baba na mtoto? Maalim Seif Ikulu? Kagame na bandari TZ? Stori +Audio
Najua kuna watu wangu wanakosa time ya kusikiliza uchambuzi wa MAGAZETI redioni kila siku, uchambuzi huwa unagusa headlines kubwa kubwa zote kurasa za nje na ndani… leo December 22 2015 kuna hizi nilizozinasa. Rais Magufuli aungana na Marais wastaafu kwenye mazishi ya dada yake JK, Tausi Khalfan Kikwete kijijini Msoga, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema […]
The post Wauza unga TZ? majibu ya DNA baba na mtoto? Maalim Seif Ikulu? Kagame na bandari TZ? Stori +Audio appeared first on...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YF3zdS6M3KY/VnfI7f7yaDI/AAAAAAAINow/TCS_6bCm_QE/s72-c/samwel-Manyele1.png)
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya uchunguzi wa DNA yaonyesha baba si mzazi halali wa mtoto
![](http://2.bp.blogspot.com/-YF3zdS6M3KY/VnfI7f7yaDI/AAAAAAAINow/TCS_6bCm_QE/s400/samwel-Manyele1.png)
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.
Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.
“Kesi zinazopokelewa katika...