NAY: NIPO TAYARI KUPIMA DNA

Musa Mateja KUFUATIA sintofahamu kati ya wapenzi wawili, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’, ambaye ni msanii wa Bongo Fleva na Siwema Edson juu ya mtoto wao mwenye umri wa miezi mitatu, mwanaume huyo amesema yupo tayari hata kwa vipimo vya vinasaba (DNA) ili kuthibitisha kuwa Curtis ni mtoto wake wa damu. Msanii wa Bongo Fleva Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’. Siwema ambaye Nay anadai kumfumania...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 Aug
Davido akana kupima DNA

IKIWA ni miezi mitatu tangu msanii wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ apate mtoto wa kike aliyezaa na mpenzi wake wa zamani, msanii huyo amesema hana mpango wa kupima vina saba ‘DNA’ kwa kuwa anaamini mtoto huyo ni wake.
“Ningefanya hivyo kama ningekuwa na wasi wasi, lakini kwa sasa wala sina wasi wasi wowote na ninakubali kuwa ni mtoto wangu maana anafanana sura na mimi,” alisema Davido.
11 years ago
Mwananchi02 May
‘Michepuko’ ni chanzo cha wengi kwenda kupima DNA
10 years ago
GPL
HUKUMU DNA MTOTO WA NAY APRILI 8
10 years ago
GPL
UTATA MTOTO WA NAY NA SIWEMA, MAJIBU YA DNA YAMALIZA UBISHI
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Magufuli: Nipo tayari kushtakiwa

Waziri John Magufuli
Oliver Oswald Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema yupo tayari kufungwa jela kuliko kuendelea kuwavumilia watu wanaokwamisha ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa kukimbilia mahakamani.
Sambamba na hilo, pia amepiga marufuku uchimbaji wa mchanga pembezoni mwa mto uliokuwa eneo la daraja la Lugalo, ikiwa ni pamoja na kuwapa tahadhari ya kuwafungia wafanyabiashara walio karibu na eneo hilo endapo watashindwa kuwa walinzi wa uharibifu...
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Ghasia: Nipo tayari kuwajibika

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM,
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema kwamba yuko tayari kuwajibika iwapo atabainika amevuruga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi nchini.
Waziri Ghasia aliyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, kuhusu taarifa ya awali ya upigaji kura katika Serikali za Mitaa.
“Nitakuwa...
10 years ago
GPL
DIAMOND: NIPO TAYARI KWA KIFO!
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Kagame:Nipo tayari kufanya kazi na Watanzania
Na Gabriel Mushi, Dar es Salaam
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame ameihakikishia Serikali ya Tanzania kuwa yupo tayari kufanya kazi na Watanzania, kwa kuwa wananchi wa pande zote mbili wanafaidika na ushirikiano uliopo.
Rais Kagame, alitoa kauli hiyo jana alipofanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam na kuridhika na utendaji pamoja na mabadiliko yaliyofanywa na Serikali katika sekta ya usafirishaji.
Kagame ambaye alikuwa ameandamana na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete, awali alifungua mkutano...
10 years ago
Vijimambo13 Aug
DIAMOND SASA NIPO TAYARI KWA KIFO

SIKU chache baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupata binti na kumwita Latifah ‘Princess Tiffah’ na kuanza maisha mapya ya familia na mzazi mwenzake, Zarina Hassan ‘Zari’, nyota huyo anadaiwa kutoa ya moyoni kwa kusema kuwa sasa yupo tayari kwa kifo kwa vile ndoto yake kubwa ya kupata mtoto imekamilika na ana chata duniani.
KWANZA ANAMSHUKURU MUNGU
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini,...