Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Michepuko’ ni chanzo cha wengi kwenda kupima DNA

Isaya Kolumba  alishangazwa na tabia za mmoja wa watoto wake. Hakuwa na sura yake wala ya mama yake. Si hivyo tu bali alikwishaanza kuona dalili kubwa zinazoonyesha mtoto huyo kufanana kisura na dereva anayemuendesha mke wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Davido akana kupima DNA

Davido-11NA BADI MCHOMOLO

IKIWA ni miezi mitatu tangu msanii wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ apate mtoto wa kike aliyezaa na mpenzi wake wa zamani, msanii huyo amesema hana mpango wa kupima vina saba ‘DNA’ kwa kuwa anaamini mtoto huyo ni wake.

“Ningefanya hivyo kama ningekuwa na wasi wasi, lakini kwa sasa wala sina wasi wasi wowote na ninakubali kuwa ni mtoto wangu maana anafanana sura na mimi,” alisema Davido.

 

10 years ago

GPL

NAY: NIPO TAYARI KUPIMA DNA

Musa Mateja
KUFUATIA sintofahamu kati ya wapenzi wawili, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’, ambaye ni msanii wa Bongo Fleva na Siwema Edson juu ya mtoto wao mwenye umri wa miezi mitatu, mwanaume huyo amesema yupo tayari hata kwa vipimo vya vinasaba (DNA) ili kuthibitisha kuwa Curtis ni mtoto wake wa damu. Msanii wa Bongo Fleva Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’. Siwema ambaye Nay anadai kumfumania...

 

11 years ago

Michuzi

Elimu duni chanzo cha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi

Na Anna Nkinda - Washington
Imeelezwa kwamba kutokuwa na uelewa wa kutosha kuhusu ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi, upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya, na vitendea kazi, utungaji wa sera zisizo rafiki, pamoja na ukosefu wa takwimu za magonjwa ni moja ya sababu zinazosababisha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wake wa marais wa Afrika waliohudhuria  hafla fupi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kombe la Dunia lisiwe kiini cha michepuko

MACHO na masikio ya mamilioni ya watu duniani kote kwa sasa yako kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil, ambako jumla ya nchi 32 zinachuana kumpata mfalme mmoja tu...

 

10 years ago

GPL

FAMILIA YAWEKA WAZI CHANZO CHA KIFO CHA SECKY

Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' enzi za uhai wake. Familia ya Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' imeweka wazi chanzo cha kifo cha marehemu baada ya kuzagaa habari mitandaoni kuhusu chanzo cha kifo chake. Familia hiyo imeeleza kuwa marehemu aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba mtoto wake nyumbani kwake kisha akapelekwa hospitali na baadaye kufariki dunia akiwa hospitali. Enzi za uhai wake, marehemu alikuwa...

 

10 years ago

Michuzi

NASSAR ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI KIJIJI CHA KARANGAI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI

MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar jana ameungana na mamia ya wananchi katika kijijicha Karangai kata ya Kikwe katika jimbo hilo kufanya shughuli za awali za ujenzi wa chanzo kipya cha Maji kwa ajili ya umwagiliaji.


Zoezi hilo lilo anza majira ya saa 3 asubuhi na kumalizika majira ya saa 12 jioni ilishuhudiwa Mbunge Nassar akishiriki kazi za mikono ikiwemo kubeba mawe na kuayapanga katika eneo la mto kwa ajili ya ujenzi wa chanzo hicho.

Akizungumza katika eneo hilo ,Nassar...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ASAFIRI KWA MASAA 14 KWENYE ZIWA VICTORIA KWENDA KISIWANI IRUGWA NA KUTUMIA MASAA MANNE MENGINE KWENDA KISIWA CHA UKARA KISI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya IrungwaKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE JOSHUA NASSAR ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI KIJIJI CHA KARANGAI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar aiwa amepanda kwenye Lori lililokuwalikibeba mawe kwa ajili ya ujenzi wa chanzo kipya cha maji kwa ajili ya kumwagilia katika kijiji cha Karangai kata ya Kikwe katika jimbo hilo. Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akishirikiana na wananchi katika kijiji cha Karangai kuweka mawe katika chanzo cha maji kwa ajili ya umwagiliaji. Mbunge Nassar akisaidia katika hatua za awali za ujenzi wa eneo hilo. Mbunge Joshua Nassar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani