Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hukumu ya watia nia CCM kutolewa hapa

Macho na mawazo ya watanzania wengi yapo mjini Dodoma kufuatilia yanayojiri kwenye mchakato wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kumpata mgombea wake wa kiti cha urais, atakayekiwakilisha katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ni wiki ngumu watia nia CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaWIKI hii ni ya mwisho kwa watia nia ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kurejesha fomu baada ya kuzunguka nchi nzima kuomba wadhamini, hata hivyo jana mwanachama mwingine wa CCM alichukua fomu na hivyo kufanya idadi ya watia nia hao kufikia 42.

 

10 years ago

Habarileo

Utafiti wampa Mwigulu kidedea watia nia CCM

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.TAASISI ya Utafiti wa Maendeleo ya Elimu Tanzania (TEDRO) imetoa matokeo ya utafiti kuhusu wagombea ambao hotuba zao ziligusa mahitaji wa wananchi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ndiye aliyeibuka kidedea.

 

5 years ago

CCM Blog

CCM YAWAONYA WATIA NIA WANAOCHAFUA MADIWANI NA WABUNGE WANAOMALIZA MUDA WAO

Mbunge wa viti Maalumu CCM Mkoa wa Kagera akizungumza na viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kutoka Kata zote za Manispaa ya Bukoba jana mjini Bukoba.(Picha na Allawi Kaboyo).

Na Allawi Kaboyo, Bukoba
Wenye nia za kugombea Udiwani, Ubunge  katika Kata na Majimbo mkoani Kagera kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameonywa kuacha tabia ya kutoa kauli za kuwachafua madiwani na wabunge wanaomaliza muda wao kama njia rahisi ya kushinda nafasi hizo katika Uchaguzi Mkuu uliopamgwa...

 

10 years ago

Michuzi

WATIA NIA CCM WAENDELEA NA ZIARA YA KUJITAMBULISHA KATIKA KATA MBALIMBALI JIMBO LA ARUSHA MJIN

SAM_4061Mtia nia ya ubunge kwa CCM Philemon Mollel akizungumza katika mkutano wa kujinadi mbele ya wana CCM wa kata ya Sinoni jijini Arusha ili kuomba ridhaa yakuteuliwa na chama chake kuwania ubunge wa jimbo la Arusha katika uchaguzi wa mwezi Oktoba Mwaka huu.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).SAM_4098Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele ya wanachama wa chama hicho katika kata ya Sakina jijini...

 

10 years ago

Michuzi

WATIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI KUPITIA CCM WAJINADI MBELE YA WAJUMBE KATA YA MAWENZI

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini Priscus Tarimo akijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Edmund Rutaraka akiomba kura mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha aijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Mapinduzi kata ya Mawenzi wakiwasikiliza wagombea.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

BBCSwahili

Hukumu ya Muslim Brotherhood kutolewa

Mahakama huko Minya Misri inatarajiwa kutoa hukumu dhidi washukiwa wa vuguvugu la Muslim brotherhood

 

10 years ago

StarTV

Hukumu ya Badweli kutolewa Aprili 29.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es Salaam.

 

Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam itatoa hukumu ya Kesi ya rushwa inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Bahi mkoani Dodoma Omary Badweli Aprili 29, mwaka huu.

 

Badwel anakabiliwa na shitaka la rushwa ambalo anadaiwa kutenda kati ya Mei 30 na Juni 2, 2012, katika maeneo tofauti mkoani Dar es Salaam ambapo alishawishi apewe rushwa ya Shilingi Milioni 1 kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Sipora Liana.

 

Kesi hiyo ambayo imedumu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hukumu ya Alexei Navalny kutolewa leo

Wakuu wa mahakama Nchini Urusi wanatoa hukumu katika kesi dhidi ya kiongozi mmoja wa upinzani

 

9 years ago

Mtanzania

Kesi ya Mawazo kutolewa hukumu leo

Alphonce  MawazoNA BENJAMIN MASESE, MWANZA

JAJI wa Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, Lameck Mlacha, anatarajia kutoa hukumu juu ya mvutano wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Geita marehemu Alphonce Mawazo jijini Mwanza.

Jaji Mlacha anatarajia kutoa hukumu hiyo leo saa saba mchana baada ya pande zote mbili kueleza hoja zao.

Mawakili wa Serikali, Seth Mkemwa na Emilly Kilia ambao wanamtetea Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza, Charles Mkumbo aliyezuia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani