WATIA NIA CCM WAENDELEA NA ZIARA YA KUJITAMBULISHA KATIKA KATA MBALIMBALI JIMBO LA ARUSHA MJIN
Mtia nia ya ubunge kwa CCM Philemon Mollel akizungumza katika mkutano wa kujinadi mbele ya wana CCM wa kata ya Sinoni jijini Arusha ili kuomba ridhaa yakuteuliwa na chama chake kuwania ubunge wa jimbo la Arusha katika uchaguzi wa mwezi Oktoba Mwaka huu.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele ya wanachama wa chama hicho katika kata ya Sakina jijini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tVoXeKwILOM/VbMSdDSuShI/AAAAAAAAStQ/V5sPuYAonAU/s72-c/DSCF5951%2B%25281280x960%2529.jpg)
WATIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI KUPITIA CCM WAJINADI MBELE YA WAJUMBE KATA YA MAWENZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-tVoXeKwILOM/VbMSdDSuShI/AAAAAAAAStQ/V5sPuYAonAU/s640/DSCF5951%2B%25281280x960%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-dip-LVPmoAc/VbMSTS4FA8I/AAAAAAAASss/tpf0RH2j0gY/s640/DSCF5945%2B%25281280x960%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0ojaUBuq1Co/VbMSpeY56CI/AAAAAAAASt0/G0f8wmSB8PY/s640/DSCF5969%2B%25281280x960%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-7CIoSmTlhGA/VbMST0VISvI/AAAAAAAASs8/jJ_fkfr2kjM/s640/DSCF5944%2B%25281280x960%2529.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7LAV7jKmCKM/VaAP-cwDcnI/AAAAAAAASBc/FH2cqmMCKBw/s72-c/E86A3273%2B%25281280x853%2529.jpg)
MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM, EDMUND RUTARAKA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJIN
![](http://1.bp.blogspot.com/-7LAV7jKmCKM/VaAP-cwDcnI/AAAAAAAASBc/FH2cqmMCKBw/s640/E86A3273%2B%25281280x853%2529.jpg)
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Dewji Blog27 Jul
Mchakato wa kuomba kura za maoni katika jimbo la Singida mjini likiendelea katika kata mbalimbali kwa wagombea kujinadi
Mmoja wa wagombea ubunge jimbo la Singida Mjini, Hasan Mazala akiomba kura kata ya kajengo jana.
Mazala akiomba kura.
Amani Rai mmoja wa wagombea Jimbo la Singida mjini akimwaga serra zake kata ya majengo.
Mpiga picha na mwandishi wa habari Leah Samike nae amejitosa kuwania Ubunge Singida mjini.
Mmoja wa wananchi wa Majengo, Hamson Mrecha akiuliza swali mgombea.
Yage Kiaratu mmoja wa wagombea nafasi ya Udiwani Kata ya Majengo akiomba kura.
10 years ago
Dewji Blog24 Jul
Kumekucha watia nia washutumiana kwa rushwa jimbo la Iringa
Watia nia Jimbo la Iringa Mjini kushoto ni Peter Mwanilwa, Micheal Mlowe, Mahamudu Madenge, Dk. Yahaya Msigwa, Frank Kibiki na Frederick Mwakalebela wamionyesha ishara ya Umoja na Amani wakati wa mkutano na waandishi wa habari waliozungumzia ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi wa CCM.
Madege akisoma kanuni hizo kwa wanahabari.
WAKATI Joto la uchaguzi likishuka na kupanda mkoani Iringa kada wa chama chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo na mtia...
10 years ago
VijimamboKUMEKUCHA WATIA NIA WASHUTUMIANA KWA RUSHWA JIMBO LA IRINGA MJINI
Madenge (katikati) akisoma kanunni hizo kwa wanahabari.
WAKATI Joto la uchaguzi likishuka na kupanda mkoani Iringa kada wa chama chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo na mtia nia kugombea ubunge wa jimbo la Iringa...
11 years ago
Dewji Blog24 May
Mh. Mohammed Dewji akiwa katika ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo ya jimbo lake
MO akisalimiana na wazee wa kijiji cha Uhamaka kabla ya kuanza kuzungumza na wananchi.
MO akisalimiana na mmoja wa watoto waliofika kwenye mkutano wake Uhamaka.
Mbunge MO akilakiwa na mmoja wa bibi kizee aliyefika kwenye mkutano wake , Karibu mjukuu wangu hapa Uhamaka.
Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mohammed Dewji (MO), akiweka saini kwenye kitabu cha ofisi ya kijiji cha Uhamaka Manispaa ya Singida wakati akiwa kwenye ziara ya kiazi ya siku moja kukagua shughuli mbalimbali za...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/DSC_00731.jpg)
MH. MOHAMMED DEWJI AKIWA KATIKA ZIARA YA KUKAGUA SHUGHULI MBALIMBALI ZA MAENDELEO YA JIMBO LAKE
10 years ago
Habarileo29 Jun
Ni wiki ngumu watia nia CCM
WIKI hii ni ya mwisho kwa watia nia ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kurejesha fomu baada ya kuzunguka nchi nzima kuomba wadhamini, hata hivyo jana mwanachama mwingine wa CCM alichukua fomu na hivyo kufanya idadi ya watia nia hao kufikia 42.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-5qnnvxb0nZo/VK7MEALaCsI/AAAAAAAAsOo/qBVYyKrQ1xs/s72-c/1.jpg)
UGENI WA MTEMVU KUTOKA MAREKANI WAFANYA ZIARA YA KIHISTORIA YA MAFUNZO KATIKA MAENEO MBALIMBALI JIMBO LA TEMEKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-5qnnvxb0nZo/VK7MEALaCsI/AAAAAAAAsOo/qBVYyKrQ1xs/s1600/1.jpg)