Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni wiki ngumu watia nia CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaWIKI hii ni ya mwisho kwa watia nia ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kurejesha fomu baada ya kuzunguka nchi nzima kuomba wadhamini, hata hivyo jana mwanachama mwingine wa CCM alichukua fomu na hivyo kufanya idadi ya watia nia hao kufikia 42.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hukumu ya watia nia CCM kutolewa hapa

Macho na mawazo ya watanzania wengi yapo mjini Dodoma kufuatilia yanayojiri kwenye mchakato wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kumpata mgombea wake wa kiti cha urais, atakayekiwakilisha katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

10 years ago

Habarileo

Utafiti wampa Mwigulu kidedea watia nia CCM

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.TAASISI ya Utafiti wa Maendeleo ya Elimu Tanzania (TEDRO) imetoa matokeo ya utafiti kuhusu wagombea ambao hotuba zao ziligusa mahitaji wa wananchi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ndiye aliyeibuka kidedea.

 

5 years ago

CCM Blog

CCM YAWAONYA WATIA NIA WANAOCHAFUA MADIWANI NA WABUNGE WANAOMALIZA MUDA WAO

Mbunge wa viti Maalumu CCM Mkoa wa Kagera akizungumza na viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kutoka Kata zote za Manispaa ya Bukoba jana mjini Bukoba.(Picha na Allawi Kaboyo).

Na Allawi Kaboyo, Bukoba
Wenye nia za kugombea Udiwani, Ubunge  katika Kata na Majimbo mkoani Kagera kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameonywa kuacha tabia ya kutoa kauli za kuwachafua madiwani na wabunge wanaomaliza muda wao kama njia rahisi ya kushinda nafasi hizo katika Uchaguzi Mkuu uliopamgwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wiki ngumu CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaanza wiki ngumu ya kusaka theluthi mbili ya kura za wajumbe kutoka Zanzibar ili kiweze kubatilisha mapendekezo ya rasimu ya Katiba ya muundo wa muungano wa...

 

10 years ago

Michuzi

WATIA NIA CCM WAENDELEA NA ZIARA YA KUJITAMBULISHA KATIKA KATA MBALIMBALI JIMBO LA ARUSHA MJIN

SAM_4061Mtia nia ya ubunge kwa CCM Philemon Mollel akizungumza katika mkutano wa kujinadi mbele ya wana CCM wa kata ya Sinoni jijini Arusha ili kuomba ridhaa yakuteuliwa na chama chake kuwania ubunge wa jimbo la Arusha katika uchaguzi wa mwezi Oktoba Mwaka huu.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).SAM_4098Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele ya wanachama wa chama hicho katika kata ya Sakina jijini...

 

10 years ago

Michuzi

WATIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI KUPITIA CCM WAJINADI MBELE YA WAJUMBE KATA YA MAWENZI

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini Priscus Tarimo akijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Edmund Rutaraka akiomba kura mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha aijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Mapinduzi kata ya Mawenzi wakiwasikiliza wagombea.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Dewji Blog

Kumekucha watia nia washutumiana kwa rushwa jimbo la Iringa

Watia nia Jimbo la Iringa Mjini kushoto ni Peter Mwanilwa, Micheal Mlowe, Mahamudu Madenge, Dk. Yahaya Msigwa, Frank Kibiki na Frederick Mwakalebela wamionyesha ishara ya Umoja na Amani wakati wa mkutano na waandishi wa habari waliozungumzia ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi wa CCM. 

Madege akisoma kanuni hizo kwa wanahabari.

WAKATI Joto la uchaguzi likishuka na kupanda mkoani Iringa kada wa chama chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo na mtia...

 

10 years ago

Vijimambo

KUMEKUCHA WATIA NIA WASHUTUMIANA KWA RUSHWA JIMBO LA IRINGA MJINI

Watia nia Jimbo la Iringa Mjini kushoto ni Peter Mwanilwa, Micheal Mlowe, Mahamudu Madenge, Dk. Yahaya Msigwa, Frank Kibiki na Frederick Mwakalebela wakati wakiongea na waandishi wa habari kuhusu ukiukwaji wa kanunu za uchaguzi wa CCM.
Madenge (katikati) akisoma kanunni hizo kwa wanahabari.
WAKATI Joto la uchaguzi likishuka na kupanda mkoani Iringa kada wa chama chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo na mtia nia kugombea ubunge wa jimbo la Iringa...

 

10 years ago

Vijimambo

SEMINA YA WATIA NIA UBUNGE CHADEMA KANDA YA KATI YAFANYIKA DODOMA KWA MAFANIKIO

Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kilosa Rajab Msabaha Kauzela akiwa na Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani na mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu walipokuwa katika Semina ya watia nia wa ubunge Kanda ya Kati iliyofanyika Dodoma.Pichani Mh Tundu Lissu kulia akiwa na Rajab Msabaha Kauzela.Mh Joseph Mbilinyi Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Mikumi (wa nne kutoka kushoto) akiwa na Mtia nia wa Jimbo la Kilosa Rajab Msabaha Kauzela (wa tatu kutoka kushoto) na watia nia wengine wa Kanda ya kati wakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani