Wiki ngumu CCM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaanza wiki ngumu ya kusaka theluthi mbili ya kura za wajumbe kutoka Zanzibar ili kiweze kubatilisha mapendekezo ya rasimu ya Katiba ya muundo wa muungano wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Jun
Ni wiki ngumu watia nia CCM
WIKI hii ni ya mwisho kwa watia nia ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kurejesha fomu baada ya kuzunguka nchi nzima kuomba wadhamini, hata hivyo jana mwanachama mwingine wa CCM alichukua fomu na hivyo kufanya idadi ya watia nia hao kufikia 42.
10 years ago
Habarileo24 Feb
Wiki ngumu kwa Chenge, Tibaijuka
MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge kesho atasimama mbele ya Baraza la Maadili kujibu tuhuma za kukiuka maadili ya uongozi na kujipatia Sh bilioni 1.6 ambazo aligawiwa kutoka katika fedha za akaunti ya Tegeta Escrow.
10 years ago
Mtanzania29 Sep
Wiki ngumu Bunge Maalum la Katiba
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
Na Maregesi Paul, Dodoma
WIKI hii ni kati ya wiki ngumu zilizowahi kulikumba Bunge Maalum la Katiba lililoanza mwanzoni mwa Agosti mwaka huu.
Wakati Bunge linaanza mwanzoni mwa mwaka huu, wajumbe walitumia muda mwingi kujadili sura ya kwanza na ya sita inayohusu muundo wa Serikali na pia walivutana wakati walipokuwa wakijadili kanuni za 37 na 38 za Bunge hilo zinazohusu upigaji kura ya siri au ya...
10 years ago
Habarileo07 Jul
Ni wiki ngumu wanaowania urais Dodoma
WAKATI uhai wa Bunge la 10 la Tanzania utamalizika rasmi keshokutwa, ambapo litavunjwa na Rais Jakaya Kikwete, tukio lingine zito linatarajiwa kuutikisa mji huu wiki hii.
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Wiki ngumu kwa Ngeleja, Chenge
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Wiki ngumu Bunge la Katiba yaanza leo
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Warioba: CCM ina kazi ngumu kumpata mgombea urais
5 years ago
Raia Mwema12 Mar
Wiki ya CCM iliyotikisa Dodoma
MISURURU mirefu ya magari, baadhi ya watu kukesha kwenye majumba ya starehe na wengine kulazimika
Mwandishi Wetu
10 years ago
Habarileo10 Aug
Hatma ya wawania ubunge CCM wiki hii
CHAMA Cha Mpinduzi (CCM) kimeingia katika hatua za mwisho za mchakato wa kuwapata wagombea ubunge, uwakilishi na udiwani kwa majina yote kufikishwa kwenye vikao vya juu kabisa vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) vinavyofanyika mjini hapa ili kujadiliwa na hatimaye kupitishwa.