Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatma ya wawania ubunge CCM wiki hii

CHAMA Cha Mpinduzi (CCM) kimeingia katika hatua za mwisho za mchakato wa kuwapata wagombea ubunge, uwakilishi na udiwani kwa majina yote kufikishwa kwenye vikao vya juu kabisa vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) vinavyofanyika mjini hapa ili kujadiliwa na hatimaye kupitishwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Bano awaonya wawania ubunge CCM

Katibu wa CCM wilaya ya Arusha, Ferooz BaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Arusha kimewaonya makada wake waliojitokeza na kutangaza nia ya kuwania ubunge Jimbo la Arusha Mjini, kuacha tabia ya kuchafuana na kuanza kampeni kabla ya muda.

 

10 years ago

Habarileo

Wanachama 17 CCM wawania ubunge majimbo ya Dodoma

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaMAKADA 17 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kuchukua fomu za kuwania Ubunge katika Majimbo ya Dodoma Mjini, Mtera, Chilonwa, Mpwapwa na Kibakwe.

 

5 years ago

CCM Blog

HATMA YAO KUJULIKANA WIKI HII

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.RIPOTI kuhusu tuhuma zinazowakabili makatibu wakuu wastaafu wawili(Adbulrahman Kinana na Yusuph Makamba) akiwemo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe tayari imekamilika na inatarajiwa kukabidhiwa kwa Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi mwishoni mwa wiki hii na kamati ndogo ya nidhamu chini ya uongozi wa Makamu Mwenyekiti wa chama, Bara Philip Mangula.
Kauli hiyo ilitolewa jijini hapa jana na Katibu Mkuu wa chama, Dk Bashiru Ally wakati akizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

Sita Chadema wawania ubunge jimboni Chalinze

 Wanachama sita wa Chadema wamechukua fomu kuwania Ubunge wa Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema Aprili, mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

NEC CCM kukutana Dodoma wiki hii

SIKU chache baada ya kumalizika kwa Bunge Maalumu la Katiba, macho na masikio ya wakazi wa mkoani hapa yanatarajiwa kuhamia katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakayofanya vikao vyake mjini hapa mwishoni mwa wiki.

 

9 years ago

Mwananchi

Saba CCM wawania umeya Tabora

Madiwani saba wamejitokeza kuwania umeya wa Manispaa ya Tabora, huku watano wakiutaka unaibu meya ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Habarileo

Kiama wawania Urais CCM leo

Kamati Kuu ya CCM.KAMATI Kuu ya CCM (CC) iliyosubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye inakutana leo na suala kubwa linalotarajiwa na wanachama na wananchi, ni tathmini ya hukumu ya vigogo sita wa chama, waliokuwa wakitumikia adhabu baada ya kubainika kuanza kampeni za urais mapema.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUA DODOMA, KUTEGUA KITENDAWILI CHA NANI MTEULE WA CCM KUWANIA URAIS WA TANZANIA WIKI HII

 MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiongozana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, (kulia), akiwapungia wana CCM waliofika kumlaki kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Julai 8, 2015. 
Mwenyekiti huyo wa CCM amewasili na kuanza kazi mara moja ya kuongoza kikao cha kamati ya maadili ili kupokea taarifa za watia nia wa CCM, kabla ya kuanza kuwajadili na kupunguza majina kutoka 39 hadi matano, kazi itakayofanywa na Kamati Kuu ya chama hicho inayotarajiwa kukutana Alhamisi Julai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani