Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sita Chadema wawania ubunge jimboni Chalinze

 Wanachama sita wa Chadema wamechukua fomu kuwania Ubunge wa Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema Aprili, mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

CUF yaiwekea pingamizi Chadema ubunge Chalinze

Chama cha Wananchi (CUF), imemwekea pingamizi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chadema, Mathayo Torongei kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za uchaguzi kwa kumtaka msimamizi wa uchaguzi jimbo hilo aliondoe jina hilo katika orodha ya wagombea wanaotarajiwa kupanda kwenye majukwaa kuomba ridhaa kwa wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema wampitisha rasmi mgombea ubunge Chalinze

 Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimempitisha Mathayo Torongey kuwa mgombea rasmi wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge wa Chadema ahukumiwa miezi sita

Mgombea ubunge katika Jimbo la Kilombero mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Lijuakali amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi sita baada ya kukutwa na hatia ya kumtukana ofisa mtendaji wa kata.

 

11 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE (CUF) AMUWEKEA PINGAMIZI WA CHADEMA

TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUF
                                                            DHIDI YA
MATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA...

 

10 years ago

Vijimambo

MTIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA KILOSA RAJAB MSABAHA KAUZELA AENDELEA NA ZIARA ZA UFUNGUZI WA MATAWI YA CHADEMA JIMBONI KILOSA

Mwanachama wa CHADEMA akiandaa bendera tayari kwa ufunguzi wa Tawi la Chadema Jimboni KilosaMtia ni wa Ubunge Kilosa Ndugu Rajab Msabaha Kauzela akipandisha bendera kama ishara ya ufunguzi wa Tawi la Chadema katika mwendelezo wa ziara zake za ufunguzi wa matawi ili kujenga chama Jimboni KilosaWananchi waliofurika kushuhudia ufunguzi wa Tawi Jipya la Chadema moto wa gesi Jimboni KilosaNdugu Kauzela akihutubia wakazi wa Kilosa katika ufunguzi wa Tawi la CHADEMA Jimboni KilosaNdugu Kauzela...

 

10 years ago

Habarileo

Bano awaonya wawania ubunge CCM

Katibu wa CCM wilaya ya Arusha, Ferooz BaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Arusha kimewaonya makada wake waliojitokeza na kutangaza nia ya kuwania ubunge Jimbo la Arusha Mjini, kuacha tabia ya kuchafuana na kuanza kampeni kabla ya muda.

 

10 years ago

Habarileo

Wanachama 17 CCM wawania ubunge majimbo ya Dodoma

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaMAKADA 17 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kuchukua fomu za kuwania Ubunge katika Majimbo ya Dodoma Mjini, Mtera, Chilonwa, Mpwapwa na Kibakwe.

 

10 years ago

Habarileo

Hatma ya wawania ubunge CCM wiki hii

CHAMA Cha Mpinduzi (CCM) kimeingia katika hatua za mwisho za mchakato wa kuwapata wagombea ubunge, uwakilishi na udiwani kwa majina yote kufikishwa kwenye vikao vya juu kabisa vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) vinavyofanyika mjini hapa ili kujadiliwa na hatimaye kupitishwa.

 

11 years ago

GPL

MATOKEO YA AWALI JIMBONI CHALINZE

Mgombea Ridhiwani Kikwete (CCM) anaongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi Jimbo la Chalinze kwa kata 15 akiwa na kura 20,733, Chadema 2,618 na CUF 449!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani