CUF yaiwekea pingamizi Chadema ubunge Chalinze
Chama cha Wananchi (CUF), imemwekea pingamizi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chadema, Mathayo Torongei kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za uchaguzi kwa kumtaka msimamizi wa uchaguzi jimbo hilo aliondoe jina hilo katika orodha ya wagombea wanaotarajiwa kupanda kwenye majukwaa kuomba ridhaa kwa wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhk5UnKluLgVgIGUEU3kQFW92R8hCumRhItevvfdkNzos1Kbwc42R-M7jYiYvD13B2WoQkJOQXNVLnH*2fsULw5c/13.gif)
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE (CUF) AMUWEKEA PINGAMIZI WA CHADEMA
11 years ago
Habarileo14 Mar
Mgombea Chadema awekewa pingamizi Chalinze
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chadema, Mathayo Torongey, amewekewa pingamizi na mgombea wa CUF, Fabian Skauki, akidaiwa kuwa pamoja na mambo mengine, hajui kusoma na kuandika Kiswahili wala Kiingereza. Mgombea mwingine katika uchaguzi huo ni Ridhiwani Kikwete, ambaye anagombea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
11 years ago
Michuzi20 Feb
PINGAMIZI LA CHADEMA DHIDI YA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA LATUPWA
Lile pingamizi lililokuwa limewekwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) dhidi ya mgombea ubunge katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) limetupwa.
Katika pingamizi lao lilowasilishwa juzi, Chadema walikuwa wanapinga Godfrey Mgimwa kugombea ubunge kupitia CCM kama alivyoomba kwa kuwa sio raia wa Tanzania.
Tetesi za tatizo la uraia wa Godfrey Mgimwa zilisambaa mjini Iringa baada ya Chadema kuweka pingamizi hilo.
Katika Pingamizi...
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Sita Chadema wawania ubunge jimboni Chalinze
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Chadema wampitisha rasmi mgombea ubunge Chalinze
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Mahakama yatupa pingamizi la ubunge dhidi ya Dk Mwakyembe
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9IceeFAt8Os/VeWZVqCfx4I/AAAAAAAH1ks/SV6fUQkPyYM/s72-c/LUBUVA.jpg)
WAGOMBEA 38 NAFASI ZA UBUNGE WALIYOWEKEWA PINGAMIZI KUENDELEA NA KAMPENI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-9IceeFAt8Os/VeWZVqCfx4I/AAAAAAAH1ks/SV6fUQkPyYM/s640/LUBUVA.jpg)
Na Anitha Jonas – MAELEZO.TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini imefuta rufaa 38 za wagombea nafasi za ubunge kati ya 54 zilizowasilishwa kupinga baadhi ya wagombea hao kwa kuwatuhumu kutotimiza vigezo mbalimbali na kusema wagombea hao wanaweza kuendelea na Kampeni majimboni mwao.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw.Kailima Ramadhan kwenye mkutano na waandishi wa habari.Alisema kuwa baada ya...
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Mgombea CHADEMA awekewa pingamizi
MGOMBEA wa ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Fabian Skauk, amewasilisha pingamizi kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Samweli Sarianga, dhidi ya mgombea wa Chama cha...