WAGOMBEA 38 NAFASI ZA UBUNGE WALIYOWEKEWA PINGAMIZI KUENDELEA NA KAMPENI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-9IceeFAt8Os/VeWZVqCfx4I/AAAAAAAH1ks/SV6fUQkPyYM/s72-c/LUBUVA.jpg)
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.
Na Anitha Jonas – MAELEZO.TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini imefuta rufaa 38 za wagombea nafasi za ubunge kati ya 54 zilizowasilishwa kupinga baadhi ya wagombea hao kwa kuwatuhumu kutotimiza vigezo mbalimbali na kusema wagombea hao wanaweza kuendelea na Kampeni majimboni mwao.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw.Kailima Ramadhan kwenye mkutano na waandishi wa habari.Alisema kuwa baada ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar02 Sep
NEC yaruhusu wagombea Ubunge waliopingwa kuendelea na kampeni
Damian Lubuva – Mwenyekiti NEC Tuesday, September 1, 2015 Na Anitha Jonas – Habari/Maelezo via blogu ya Serikali TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini imefuta rufaa 38 za wagombea nafasi za ubunge kati ya 54 zilizowasilishwa […]
The post NEC yaruhusu wagombea Ubunge waliopingwa kuendelea na kampeni appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Mwigulu achukua fomu ya Ubunge na kutoa vitisho kwa wagombea wa nafasi hiyo Iramba
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwa katika usafiri wa bodaboda akiingia kwenye ofisi ya CCM Wilaya ya Iramba ikiwa ni moja ya staili ya kuwaomba kura wapiga kura wa jimbo la Iramba.
Mwigulu Nchemba akiwasili Ofisi za chama cha Mapinduzi Wilaya ya Iramba,Mamia ya Wananchi walijumuika naye kumsindikiza ili awezekuchukua Fomu hiyo na hatimaye kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kuwa Mgombea Ubunge Wilaya ya Iramba.
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM akisaini kitabu cha mahudhurio baada...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-m3REVwRCIPA/XujWHTAYhEI/AAAAAAALuEo/EaN9bfVK-AowyddKposPBhOvI2QlN7_1QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-16%2Bat%2B4.46.16%2BPM.jpeg)
HATUTAKI KUTUMIA NGUVU NYINGI KUWANADI WAGOMBEA NAFASI YA UBUNGE NA UDIWANI-CCM LUDEWA
Hayo aliyasema katibu wa chama hicho wilaya Bakari Mfaume katika mkutano wa kamati kuu ya chama hicho uliolenga kujadili utaratibu na mchakato mzima wa uchukuaji fomu za kugombea nafasi hizo.
Alisema kuwa kwa sasa hawataki kukata viuno majukwaani na kuongea sana ili kumfanya akubalike...
10 years ago
Michuzi29 Jul
WAGOMBEA UBUNGE CCM WAKAMILISHA KAMPENI ZAO KATIKA KATA 25 JIJINI ARUSHA
![SAM_4554](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/mj0KQT2RuNVwlGjXlczbH5iSslxTfWlf6HY52g67uWRA6vkpzcXATEnQQMQRwQpl5Dhr3XhN-mxrE5dd8ReqO5Kyrkz5UHfrQbDxo_QUlt3Jl94=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/07/sam_4554.jpg)
![SAM_4518](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/7uiysglymKWhmZra--QPgej1DezVaIcKeqJU0BBWTYBL4rYHf2puT8W_nMGW8AH0FFrmSxhC8VlK7OWahBoc5vhlyBnZvHSDm4zRjSFb_oNo2S8=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/07/sam_4518.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar08 Sep
Sauti:Pingamizi dhidi wagombea (ZEC)
Repoti ya Salma Said:
The post Sauti:Pingamizi dhidi wagombea (ZEC) appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
VijimamboMGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO
10 years ago
GPLMTANGAZA NIA UBUNGE LUDEWA AANGUKIA PUA NAFASI YA NEC, AAPA KUTOKUGOMBEA UBUNGE
9 years ago
Dewji Blog02 Sep
Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatupilia mbali baadhi ya rufani za wagombea waliowekewa pingamizi
Jaji Lubuva..
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imekubali rufani 13 zilizokatwa na wagombea ubunge katika majimbo mbalimbali nchini, huku majimbo 10 ambayo wagombea wake walipita bila kupingwa, imewarejesha.
Kurudishwa kwao kunafanya baadhi ya wabunge waliokuwa wamepita bila kupingwa, sasa kuwa na wapinzani wao na baadhi ya majimbo hayo ni Bumbuli (January Makamba), Peramiho (Jenista Mhagama), Ludewa (Deo Filikunjombe) na Madaba (Mhagama), walitangazwa kupita bila kupingwa.
Hayo...
11 years ago
Mwananchi14 Mar
CUF yaiwekea pingamizi Chadema ubunge Chalinze