Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatupilia mbali baadhi ya rufani za wagombea waliowekewa pingamizi

lubuva-600x342Jaji Lubuva..

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imekubali rufani 13 zilizokatwa na wagombea ubunge katika majimbo mbalimbali nchini, huku majimbo 10 ambayo wagombea wake walipita bila kupingwa, imewarejesha.

Kurudishwa kwao kunafanya baadhi ya wabunge waliokuwa wamepita bila kupingwa, sasa kuwa na wapinzani wao na baadhi ya majimbo hayo ni Bumbuli (January Makamba), Peramiho (Jenista Mhagama), Ludewa (Deo Filikunjombe) na Madaba (Mhagama), walitangazwa kupita bila kupingwa.

Hayo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA LIMBU

MWIGAMBA.jpg
Pichani ni Kadawi Limbu (kulia) akiwa na Samson Mwigamba
Leo Mahakama Kuu kanda ya Dar, Itasikiliza Kwa Mara ya kwanza Ombi la Kadawi Limbu, Ambye Ni Mwenyekiti wa Muda wa ACT-TANZANIA Dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho, Ndugu Samson Mwigamba.

Shauri hilo ni namba 17 la Mwaka 2015, Katika Maombi yake kwa Mahakama Ndugu Limbu Anataka Mahakama Imzuie Mwigamba na Wenzie kujihusisha na ACT, Maombi Mengine nikutaka Mahakama kuzuia Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaotarajiwa kufanyika Mwishoni Mwa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Sauti:ZEC yatupilia mbali pingamizi dhidi ya Mansour

Salma Said:

The post Sauti:ZEC yatupilia mbali pingamizi dhidi ya Mansour appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahakama yatupilia mbali pingamizi katika kesi ya mirathi ya Mwandishi wa habari mkongwe nchini

BETTY 1

Pichani ni mwandishi wa habari mkongwe nchini marehemu, Betty Luzuka enzi za uhai wake.

Bw.+Phil-Makini+Kleruu

Aliyekuwa Ofisa mwandamizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Phil Kleruu.

Na Mwandishi wetu, Arusha

Mahakama ya mwanzo ya Maromboso imetupilia mbali  kesi ya pingamizi iliyofunguliwa na mke wa aliyekuwa ofisa mwandamizi wa jumuiya ya Afrika Mashariki,Phil Kleruu aitwaye Hilda Kleruu kwa madai kwamba siyo mwaminifu na hivyo amekosa sifa ya kuwa msimamizi wa mirathi ya mwandishi wa habari mkongwe nchini...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI MAOMBI YA PINGAMIZI LA KUSIMAMISHA BUNGE LA KATIBA

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam leo imetupilia mbali maombi ya pingamizi la awali la kusimamisha  Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma, iliyofunguliwa na  Mwandishi wa Habari Said Kubenea, kwa kuwa wametumia kifungu cha sheria kisicho sahihi.
Kadhalika, mahakama hiyo imetupilia mbali pingamizi hilo la awali, kwa kuwa mlalamikaji ametumia kifungu cha sheria namba 2 kidogo cha (2) (JALA) ambacho hakina mamlaka ya kufungua maombi hayo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kaimu Msimamizi wa uchaguzi Singida mjini atupilia mbali pingamizi la CHADEMA dhidi ya mgombea wa CCM

DSC01221

Kaimu msimamizi wa uchaguzi jimbo la Singida mjini, Gerald Muhabuki Zephyrin,akizungumza na Modewjiblog juu ya uchaguzi ubunge jimbo la Singida mjini.(Picha na Gasper Andrew).

Na Nathaniel Limu, Singida

PINGAMIZI lililowekwa na Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA),jimbo la Singida mjini, dhidi ya mgombea wa CCM Mussa Ramadhan Sima kuwa fomu zake haziko sawa kwa mujibu wa kanuni,taratibu na sheria za uchaguzi,limetupiliwa mbali kwa madai kwamba halina mashiko.

Akizungumza na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Korti yatupilia mbali kesi ya 'fungate'

Mahakama nchini Afrika Kusini imetupilia mbali kesi dhidi ya Shrien Dewani , mfanyabiashara mwingereza anayetuhumiwa kuwakodi mamluki waliomuua mkewe Anni Dewani wakati wa fungate yao mjini Cape Town.

 

10 years ago

BBCSwahili

ICC yatupilia mbali kesi ya Kenyatta

Mahakama ya kimataifa ya ICC imetupilia mbali kesi inayomkabilia Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

 

9 years ago

GPL

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATAJA TAREHE YA UCHAGUZI LUSHOTO, ULANGA MASHARIKI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Mmoja wa wanahabari akinyoosha mkono kuuliza swali kwa mwenyekiti huyo (hayupo pichani).…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani