Sauti:Pingamizi dhidi wagombea (ZEC)
Repoti ya Salma Said:
The post Sauti:Pingamizi dhidi wagombea (ZEC) appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mzalendo Zanzibar10 Sep
Sauti:ZEC yatupilia mbali pingamizi dhidi ya Mansour
Salma Said:
The post Sauti:ZEC yatupilia mbali pingamizi dhidi ya Mansour appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Sep
Sauti:Mkutano na waandishi — ZEC
Salma Said,
The post Sauti:Mkutano na waandishi – ZEC appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Michuzi
WAGOMBEA 38 NAFASI ZA UBUNGE WALIYOWEKEWA PINGAMIZI KUENDELEA NA KAMPENI.

Na Anitha Jonas – MAELEZO.TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini imefuta rufaa 38 za wagombea nafasi za ubunge kati ya 54 zilizowasilishwa kupinga baadhi ya wagombea hao kwa kuwatuhumu kutotimiza vigezo mbalimbali na kusema wagombea hao wanaweza kuendelea na Kampeni majimboni mwao.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw.Kailima Ramadhan kwenye mkutano na waandishi wa habari.Alisema kuwa baada ya...
10 years ago
Mzalendo Zanzibar14 Oct
Sauti:Mahojiano na mkurugenzi wa ZEC/Salum Kassim Ali
Sikiliza mahojiano hayo kati ya DW na Mh.Salim Kassim Ali (mkurugenzi wa tume ya chaguzi Zanzibar – ZEC):
The post Sauti:Mahojiano na mkurugenzi wa ZEC/Salum Kassim Ali appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Dewji Blog02 Sep
Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatupilia mbali baadhi ya rufani za wagombea waliowekewa pingamizi
Jaji Lubuva..
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imekubali rufani 13 zilizokatwa na wagombea ubunge katika majimbo mbalimbali nchini, huku majimbo 10 ambayo wagombea wake walipita bila kupingwa, imewarejesha.
Kurudishwa kwao kunafanya baadhi ya wabunge waliokuwa wamepita bila kupingwa, sasa kuwa na wapinzani wao na baadhi ya majimbo hayo ni Bumbuli (January Makamba), Peramiho (Jenista Mhagama), Ludewa (Deo Filikunjombe) na Madaba (Mhagama), walitangazwa kupita bila kupingwa.
Hayo...
11 years ago
Habarileo23 Sep
Pingamizi la AG dhidi ya wanasheria, Kubenea latupwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, jana imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) dhidi ya kesi ya kikatiba inayohoji uhalali wa Bunge Maalumu la Katiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.
11 years ago
Mwananchi29 Aug
Kafulila awasilisha pingamizi dhidi ya IPTL
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Pingamizi dhidi ya Profesa Maghembe latupwa
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Sheikh Ponda ‘alia’ na pingamizi dhidi yake