Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kafulila awasilisha pingamizi dhidi ya IPTL

Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi), David Kafulila amewasilisha mahakamani pingamizi la awali dhidi ya kesi ya aliyofunguliwa na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWSSSS !!!!!!! KESI YA IPTL DHIDI YA KAFULILA YATUPWA NJE.

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi namba 301 iliyofunguliwa na Kampuni ya kufua Umeme ya IPTL, PAP pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya PAP Bw Harbinder Singh Sethi dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila kwa madai kuwa Kafulila alichafua jina kampuni hizo na muhusika huyo kwamba walichota zaidi ya 300bn kwenye akaunt ya Tegeta escrow kinyume cha sheria na taratibu.
Katika shauri hilo, Kampuni ya IPTL,PAP na Herbinder Singh Sethi walitaka Mahakama...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM IMETUPILIA MBALI KESI YA IPTL DHIDI YA DAVID KAFULILA


MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi namba 301 iliyofunguliwa na Kampuni ya kufua Umeme ya IPTL, PAP pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya PAP Bw Harbinder Singh Sethi dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila kwa madai kuwa Kafulila alichafua jina kampuni hizo na muhusika huyo kwamba walichota zaidi ya 300bn kwenye akaunt ya Tegeta escrow kinyume cha sheria na taratibu.
Katika shauri hilo, Kampuni ya IPTL,PAP na Herbinder Singh Sethi walitaka Mahakama...

 

11 years ago

Michuzi

IPTL VS KAFULILA

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi)Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) na Pan Africa Power Solutions (T) Ltd, Joseph Mwakandege akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata la ununuzi wa IPTL. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPTL na PAP, Harbinder Singh Sethi.  Habari na Mwene Said wa Blogu ya Jamii.  KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL), imewasilisha maombi Mahakama Kuu...

 

9 years ago

StarTV

Mbunge Mtulya awasilisha pingamizi mahamani kuzuia Bomoa Bomoa Dar

Zoezi la bomoa bomoa lililokuwa linafanyika katika maeneo ya mabondeni katika jiji la Dar es salaam, limechukua sura mpya  baada ya Mbunge wa jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia kuliwekea pingamizi mahakamani.

Shauri hilo linatarajiwa kusikilizwa kwa mara ya kwanza mahakamani tarehe 4 januari mwaka huu likiwa na uwakilishi wa wananchi nane kutoka katika maeneo yaliyoathirika na zoezi hilo.

 Hapo awali zoezi hilo la Bomoa bomoa lilianzia katika bonde la msimbazi eneo la mkwajuni Jijini Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kafulila aivimbia IPTL

SIKU moja baada ya Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kueleza kuwa imemfungulia kesi ya madai ya sh bilioni 310 Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kafulila akoleza moto wa IPTL

MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), amewasha upya moto bungeni kuhusu kashfa ya uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT)....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kafulila: IPTL ilinipeleka Israel kuhiji

MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila, amesema kuwa baada ya kuibua kashfa ya sakata la kuchota fedha zaidi ya sh Bilioni 300, zilizohifadhiwa kwenye Akaunti ya Escrow, alilazimika kwenda Israel...

 

11 years ago

Daily News

IPTL, two others seek to gag legislator Kafulila


Daily News
IPTL, two others seek to gag legislator Kafulila
Daily News
INDEPENDENT Power Tanzania Limited (IPTL) and two other applicants have filed an application before the High Court to prevent the Member of Parliament (MP) for Kigoma South Constituency, Mr David Kafulila, from continuing circulating defamatory ...
The Ubungo Member of Parliament, John Mnyika (Chadema)IPPmedia

all 2

 

10 years ago

TheCitizen

Kafulila raises fresh worries on IPTL saga

Kigoma South MP David Kafulila (NCCR-Mageuzi) wants Controller and Auditor General (CAG) Ludovick Utouh to hand over to Parliament the probe report on the Sh201 billion ($122 million) IPTL escrow account scandal before he retires.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani