Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhe.Magufuli, kuna hili jipu kubwa, nalo litumbue!

raisiiRais John Pombe Magufuli.

LEO ni siku ya kwanza ya mwaka huu 2016, ikiwa ni zaidi ya takriban miezi miwili tangu kufanyika kwa uchaguzi mkuu ulioiweka madarakani serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli.

Wananchi wa kada zote, wameweka imani yao kwa serikali mpya, wakiamini itaweza kutatua kero nyingi zilizokuwa zikiwakabili katika nyanja mbalimbali za maisha yao ya kila siku.

Hakika, karibu katika kila sekta, kulikuwa na vitu ambavyo vilikuwa vinakera, vinaudhi na hata...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HILI NALO NENO

Habari ndiyo hiyo 

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli atumbua jipu TFF

KASI ya utendaji wa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli imechukua sura mpya baada ya Mamlaka ya Kodi ya Mapato nchini (TRA) Mkoa wa Ilala kutia mguu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). TRA imezuia fedha kwenye akaunti zote za TFF ikiwa ni madai ya kulipwa kodi inayofikia Sh bilioni 1.6 kuanzia mwaka 2010 hadi 2013.

 

10 years ago

GPL

HIVI KUNA HILA GANI KWENYE HILI LA KATIBA MPYA?

Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samweli Sita akisalimiana na rais Jakaya Mrisho Kikwete.
MWAKA huu unaingia katika historia ya nchi yetu moja kwa moja pasipo maswali. Tofauti na wakati mwingine, mwaka huu una uwezekano wa kupitisha matukio makubwa mawili, ambayo kwa namna yoyote, yanaweza kuharibu au kuimarisha taifa letu lenye umri wa miaka 50 tangu lipate uhuru wake. Tukio moja tumelizoea...

 

9 years ago

GPL

STELLA JOEL: HILI NI PIGO KUBWA KWANGU

Katibu Mwenezi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, Stella Joel. Gladness Mallya
KATIBU Mwenezi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, Stella Joel amesema kifo cha mumewe Yeronimo Mwalo ni pigo kubwa kwake linalohitaji maombi ya kila siku. Akizungumza kwa huzuni, Stella alisema mumewe alifikwa na umauti Ijumaa iliyopita katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambako alilazwa kwa muda wa siku nne akisumbuliwa na uti wa...

 

10 years ago

GPL

KUNA TATIZO KUBWA KWENYE VYAKULA VYETU

Miongo mitatu iliyopita (miaka 30), vyakula vingi vilivyopatikana kwa chakula cha binadamu vilikuwa vibichi na vitokanavyo na mazao yaliyovunwa kutokana na kilimo cha asili. Lakini hivi sasa hali imebadilika, idadi kubwa ya vyakula tunavyokula, iwe nyumbani, migahawani au shuleni, siyo vyakula vibichi na asilia, bali vingi ni vya kutengeneza na kuhifadhiwa kwa muda mrefu, huku vikiwekwa sukari ama chumvi nyingi. Kutokana na...

 

9 years ago

Vijimambo

AIBU KUBWA: MGOMBEA URAIS AANGUA KILIO JUKWAANI,ANGALIA TUKIO HILI

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha Chauma, Mohammed Masod Rashid, amejikuta akiangua kilio jukwaani na kumpigia magoti Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, kumuomba awaachie huru masheikh wa Jumuiya ya Mihadhara ya Dini ya Kiislamu (Uamsho) waliopo gerezani.
Tukio hilo lilitokea katika mkutano wa hadhara wakati akifungua kampeni za chama hicho visiwani hapa. 
Mgombea huyo alivuta hisia za wananchi na kila aliyekuwa akipita njia katika eneo hilo la kiwanja cha...

 

10 years ago

Vijimambo

AK47 Hakuwepo Kushuhudia Tukio Hili Kubwa Kwa Watoto Mapacha Aliowaacha


Watoto mapacha wa Emmannuel Mayanja Hummertone aka AK47 wamebatizwa.
Maggie Kiwesi na AK47 Emmanuel Mayanja walikuwa na watoto watatu wakiwemo mapacha wawili wameletwa kutoka nje ya nchi na kuletwa Uganda kwa ajili ya kubatizwa, Inasikitisha marehemu AK47 hakuwepo kushuhudia tukio hili kubwa kwa watoto wake.Watoto hao wamebatizwa siku “Kaka yake na AK47 Pallaso alipost picha kwenye ukurasa wa instagram picha yake na watoto hao na akaandika chini yake “Guess who got baptized today in the name...

 

11 years ago

Mwananchi

Pamoja na takwimu kuonyesha uchumi wa Tanzania unakua, bado kuna pengo kubwa kati ya maskini na matajiri

Kwa mwaka wa tano mfufulizo, Emmanuel Mhimba amekuwa akiwekeza nguvu nyingi katika kilimo cha mpunga akitarajia mafanikio makubwa.

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani