HIVI KUNA HILA GANI KWENYE HILI LA KATIBA MPYA?
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samweli Sita akisalimiana na rais Jakaya Mrisho Kikwete. MWAKA huu unaingia katika historia ya nchi yetu moja kwa moja pasipo maswali. Tofauti na wakati mwingine, mwaka huu una uwezekano wa kupitisha matukio makubwa mawili, ambayo kwa namna yoyote, yanaweza kuharibu au kuimarisha taifa letu lenye umri wa miaka 50 tangu lipate uhuru wake. Tukio moja tumelizoea...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 May
Kuna maana gani kupoteza mabilioni haya kwa Katiba?
10 years ago
GPLHILI LA KATIBA, HIVI UBAYA WA MAASKOFU UKO WAPI?
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Bado tunadanganywa kuna Katiba mpya?
“EWE Mwenyezi Mungu Mtukufu, Muumba Mbingu na Dunia, umeweka Mataifa katika Dunia, ili haki yako itendeke. Twakuomba uibariki Jamhuri ya Muungano wa Tanzania idumishe uhuru, umoja, haki na amani. Utujalie...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Bunge la Katiba litakuja na mpya gani safari hii?
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Kwa hili la Katiba, tumetoka kwenye mwanga tunaelekea gizani
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Je rinda hili ni la rangi gani ?
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Kuna siri gani hati za Muungano?
HATIMAYE serikali imetoka mafichoni na kuamua kuziweka hadharani hati halali za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ndiye ametegua kitendawili hicho juzi jioni Ikulu jijini...
9 years ago
MichuziJe, Kuna Tatizo Gani Kula Nyama?
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Rais kutibiwa Marekani kuna ubaya gani?
RAIS wangu, ‘inji hii, washa tu babaangu’ kajisemea Lyatonga! Wahenga walisema kunya anye kuku, akinya bata kaharisha! Kuna watu wako hapa, Rais wangu hata ufanye nini kwao hamna jema. Jamani...