Kwa hili la Katiba, tumetoka kwenye mwanga tunaelekea gizani
Tukio la kushambuliwa kwa mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba ni kiashiria tosha kuwa nchi iko katika hali tete na inaweza kupasuka siku si nyingi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLHIVI KUNA HILA GANI KWENYE HILI LA KATIBA MPYA?
11 years ago
Dewji Blog18 Jun
Tumetoka Mbali: Wazo La ‘Mjengwablog’ Lilizaliwa Kwenye Mazungumzo Haya Na Muhidin Michuzi…!
Ndugu zangu,
Septemba kumi, 2006 nilikutana na ndugu na kaka yangu Muhidin Issa Michuzi pale Food World Restaurant, Maktaba Street, Dar es Salaam.
Kaka Michuzi na mimi tulizungumza kwa kirefu juu ya masuala ya kublogu. Wakati huo blogu ilikuwa ni kitu kipya sana hapa nyumbani. Na hakika hapa nyumbani alianza Muhidin Michuzi kuwa na blogu ya habari na picha. Mimi ni kati ya wachache tuliofuatia kwa hapa nyumbani.
Kwenye mazungumzo yetu pale Food World, nilimwambia Michuzi niwe nachangia...
11 years ago
MichuziTumetoka Mbali: Wazo La 'Mjengwablog' Lilizaliwa Kwenye Mazungumzo Haya Na Ankal Muhidin Michuzi.
Ndugu zangu,
Septemba kumi, 2006 nilikutana na ndugu na kaka yangu Muhidin Issa Michuzi pale Food World Restaurant, Maktaba Street, Dar es Salaam.
Kaka Michuzi na mimi tulizungumza kwa kirefu juu ya masuala ya kublogu. Wakati huo blogu ilikuwa ni kitu kipya sana hapa nyumbani. Na hakika hapa nyumbani alianza Muhidin Michuzi kuwa na blogu ya habari na picha. Mimi ni kati ya wachache tuliofuatia kwa hapa nyumbani.
Kwenye mazungumzo yetu pale Food...
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Kwa Bunge hili la Katiba, CCM wameshapiga bao
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Kwa Bunge hili na hoja hizi, tutapata katiba inayofaa?
MWANICHEFUA naapa! Mmeenda Dodoma tukiwa taifa moja, lakini kwa hisia zenu hizi zilizokosa uzalendo mnaweza mkarudi mkatuachia nchi iliyo vipande vipande. Nasema hata yale ya posho mie wacha tu nikae...
10 years ago
BBCSwahili01 Nov
Kukatika kwa umeme Bangladesh gizani
11 years ago
Habarileo08 Feb
Bunge la Katiba hili
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba kwa mujibu wa sheria, huku akiwajumuisha watu mbalimbali wenye umaarufu katika jamii.
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Nchi gizani kwa saa 12 wiki nzima
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuanza kukata umeme leo kwa mikoa inayotumia gridi ya taifa kwa wiki moja kwa saa 12 kila siku.
Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Felchesmi Mramba alitaja baadhi ya mikoa ambayo itakumbwa na tatizo hiyo kuwa ni Dar es Salaam, Mbeya, Lindi, Mwara, Mwanza, Arusha na mingine.
Alikuwa akizungumza na wandishi wa habari jana kwenye ziara ya kutembelea mitambo ya Kinyerezi na Ubungo, Dar es Salaam.
“Umeme...