Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kukatika kwa umeme Bangladesh gizani

Bangladesh imekumbwa na tatizo kubwa la ukosefu wa umeme baada ya umeme kukatika nchi nzima

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Tanesco yafafanua kukatika kwa umeme

SHIRIKA la Umeme Nchini (Tanesco) limetoa sababu ya kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini katika kipindi cha Novemba 26 hadi Desemba Mosi.

 

9 years ago

StarTV

Tanesco yasema kukatika kwa umeme kwa baadhi ya mikoa yatokana na hitilafu.

Shirika la umeme tanesco lamesema kukatika kwa umeme katika baadhi ya mikoa nchini kumesababishwa na hitilafu katika kituo kidogo cha kupoozea umeme wa gridi ya taifa kilichoko mkoani singida

Meneja wa tanseco mkoa wa singida gamba mahugila amesema hitilafu hiyo imetokea leo asubuhi na kusababisha kukatika kwa umeme katika mikoa ya singida, tabora, mwanza, mara, manyara, geita na sehemu ya mkoa wa arusha

Amesema tayari mafundi wa tanesco wanaendelea na matengenezo yaliyoanza saa tano asubuhi...

 

9 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco yatoa sababu kukatika umeme mara kwa mara

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa ufafanuzi kuhusu  tatizo la kukatika  kwa umeme linaloendelea nchini linatokana na kuongeza taratibu megawati hadi zifikie megawati 335.

 

9 years ago

Habarileo

Tanesco yaeleza sababu za kukatika umeme

SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limesema tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara hasa nyakati za jioni katika maeneo ya Mbagala, Mtoni Kijichi na Yombo kutokana na mifumo ya umeme katika maeneo hayo kuzidiwa jambo ambalo wameanza kulishughulikia.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yaomba wateja wake radhi kwa kukatika kwa huduma zake!

tigo-logo

[Dar es Salaam] Kampuni ya simu ya Tigo imeomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma zake katika sehemu nyingine nchini jana Novemba 8.2015.

Taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam imesema kukatika kwa huduma za Tigo “kulitokana na sababu zilizo nje ya uwezo kwa kampuni zilizo tokana na kukatika kwa mkongo sehemu tofauti tofauti.” Aidha taarifa hiyo iliendelea kusema kwamba “tatizo hilo sasa limeshughulikiwa kikamilifu na huduma zote...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya kukatika kwa Mawasiliano ya Vodacom

Tunapenda kuwaomba radhi wateja wetu wote kwa kushindwa kutoa huduma za mawasiliano kuanzia asubuhi ya Februari 5, 2014. Hii imetokana na kukatika kwa mkonga wa mawasiliano ulioko barabara ya Morogoro na nyingine mbili za ziada zilizoko Mlalakuwa na Mayfair plaza barabara ya Mwai kibaki jijini Dar es Salaam.
Kukatika kwa Mkonga huo kumesababisha vituo vyetu vya kutoa huduma za mawasiliano vilivyopo Oysterbay na mbezi juu kushindwa kufanya kazi kutokana na vituo hivyo kutegemeana...

 

11 years ago

GPL

TAARIFA YA KUKATIKA KWA MAWASILIANO YA VODACOM‏

Mkurugenzi Mtendaji – Vodacom Tanzania,Rene Meza. Dar es Salaam, 5 Februari, 2014.Tunapenda kuwaomba radhi wateja wetu wote kwa kushindwa kutoa huduma za mawasiliano kuanzia asubuhi ya Februari  5, 2014. Hii imetokana na kukatika kwa mkonga wa mawasiliano ulioko barabara ya Morogoro na  nyingine mbili za ziada zilizoko Mlalakuwa na Mayfair plaza barabara ya Mwai kibaki jijini Dar es Salaam. Kukatika kwa Mkonga huo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Muingereza akamatwa Bangladesh kwa mauaji

Bangladesh imewakamata watu wengine watatu, akiwemo raia mmoja wa Uingereza, kuhusiana na mauwaji ya mwanablogu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani