TAARIFA YA KUKATIKA KWA MAWASILIANO YA VODACOM
Mkurugenzi Mtendaji – Vodacom Tanzania,Rene Meza. Dar es Salaam, 5 Februari, 2014.Tunapenda kuwaomba radhi wateja wetu wote kwa kushindwa kutoa huduma za mawasiliano kuanzia asubuhi ya Februari 5, 2014. Hii imetokana na kukatika kwa mkonga wa mawasiliano ulioko barabara ya Morogoro na nyingine mbili za ziada zilizoko Mlalakuwa na Mayfair plaza barabara ya Mwai kibaki jijini Dar es Salaam. Kukatika kwa Mkonga huo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qAqCPlHf3MA/UvJPvQnUvYI/AAAAAAAFLBI/6UKvibNV4w4/s72-c/Vodacom-Logo.jpg)
Taarifa ya kukatika kwa Mawasiliano ya Vodacom
![](http://1.bp.blogspot.com/-qAqCPlHf3MA/UvJPvQnUvYI/AAAAAAAFLBI/6UKvibNV4w4/s1600/Vodacom-Logo.jpg)
Kukatika kwa Mkonga huo kumesababisha vituo vyetu vya kutoa huduma za mawasiliano vilivyopo Oysterbay na mbezi juu kushindwa kufanya kazi kutokana na vituo hivyo kutegemeana...
11 years ago
GPLVODACOM YAENDELEA KUSOGEZA ZAIDI HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA WATEJA WAKE
11 years ago
MichuziMATUKIO YA KUKATIKA KWA MAWASILIANO YA BARABARA YA KIVUKONI CHA KILOMBERO
10 years ago
GPLTAARIFA YA MKURUENZI MTENDAJI WA VODACOM TANZANIA KUHUSU KUKOSEKANA KWA HUDUMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJO0WWziC7ef9awx*iVnDebyc6V-WHXsUle7U6eqVNBgArksEKhGTCTKI65sut9gW87*TAKmYsr06C0EyQliCa6S/3001.KODI.jpg?width=650)
VODACOM KINARA WA KULIPA KODI SEKTA YA MAWASILIANO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eAkQ2xyNfS6YsHWC6JXhIcpXbrbkeUR9MRh2iNx96vtLJQ*X3CJkOCA65ue-VaidLqZmNjMo-C9wUJc8ysfJ3CLp3D2EJDlF/006.MKATABA.jpg?width=650)
VODACOM KUJIKITA ZAIDI KUBORESHA HUDUMA ZA MAWASILIANO VIJIJINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXp7ahK1HXzF8cBLSX67PQHg*N4kXCW*wCSQyLL1rd-YriDXOSg6ZTSbUWSI1Ng8D4H-DnxRxy4MxGi2llkzanpB/url.png)
MTANDAO WA VODACOM KUTATUA TATIZO LA MAWASILIANO CHINI YA ARDHI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqqMAvAiVoOqyOyapCkr3CWOUHKQ97IcBdlR5y-9C4s-t1sk3aa97Ztwxlh0WIJJ7wHXuQiBCLTh2krBlE-YSw3v/Prswa.png?width=650)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68w3ttWqYAOmRmTGmAHW9-QgTAC1lBYpXlImVhwgu0h3x3DL9k2-nXmPEoPJkQEPLOcXWQgqYWvB4HDb98Cw5GA5/001.JAYMILLIONSMAWASILIANO.jpg)
BALOZI WA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM'JAY'AWALIPIA ABIRIA WOTE NAULI WA KITUO CHA MAWASILIANO JIJINI