Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumetoka Mbali: Wazo La ‘Mjengwablog’ Lilizaliwa Kwenye Mazungumzo Haya Na Muhidin Michuzi…!

1 (2)

Ndugu zangu,

Septemba kumi, 2006 nilikutana na ndugu na kaka yangu Muhidin Issa Michuzi pale Food World Restaurant, Maktaba Street, Dar es Salaam.

Kaka Michuzi na mimi tulizungumza kwa kirefu juu ya masuala ya kublogu. Wakati huo blogu ilikuwa ni kitu kipya sana hapa nyumbani. Na hakika hapa nyumbani alianza Muhidin Michuzi kuwa na blogu ya habari na picha. Mimi ni kati ya wachache tuliofuatia kwa hapa nyumbani.

Kwenye mazungumzo yetu pale Food World, nilimwambia Michuzi niwe nachangia...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Tumetoka Mbali: Wazo La 'Mjengwablog' Lilizaliwa Kwenye Mazungumzo Haya Na Ankal Muhidin Michuzi.

Ankal akiwa na Mdau Maggid Mjengwa.
Ndugu zangu, 
Septemba kumi, 2006 nilikutana na ndugu na kaka yangu Muhidin Issa Michuzi pale Food World Restaurant, Maktaba Street, Dar es Salaam.
Kaka Michuzi na mimi tulizungumza kwa kirefu juu ya masuala ya kublogu. Wakati huo blogu ilikuwa ni kitu kipya sana hapa nyumbani. Na hakika hapa nyumbani alianza Muhidin Michuzi kuwa na blogu ya habari na picha. Mimi ni kati ya wachache tuliofuatia kwa hapa nyumbani.
Kwenye mazungumzo yetu pale Food...

 

10 years ago

Michuzi

MAULID YA KUMPONGEZA BI. ZAHRA MUHIDIN MICHUZI YAFANA SANA

Ankal Michuzi akimpongeza Binti yake Zahra wakati wa hafla ya Maulid ya Kumpongeza baada ya kulamba Nondozz yake ya kwanza ya Biashara na Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dodoma hivi karibuni.Hafla hii imefanyika jana Nyumbani kwa Kaka wa Ankal,Tabata Kimanga jijini Dar es salaam. Baba Mkubwa wa Zahra,Ismail Michuzi akiongoza dua ya kuwakumbuka ndugu waliotangulia mbele ya haki kabla ya shereha ya Maulid ya kumpongeza Binti Zahra alielamba Nondozz yake ya Biashara na Uchumi katika Chuo Kikuu cha...

 

10 years ago

Vijimambo

ZAHARA MUHIDIN MICHUZI KURA HAZIKUTOSHA DHIDI YA IRENE UWOYA TABORA


Zahara Muhidin Michuzi akiwa nje ya ukumbi wa uchaguzi leo mapema.
Zahara Michuzi akiwa na wagombea wenzie Mariam katikati na Irene kulia
Leo hii mchana binti ya mpiga picha wa rais Kikwete katika na blogger maarufu hapa nchini, Muhidin Issa Michuzi Bi Zahara Michuzi alishindwa kupata kura za kutosha kumwezesha kushinda nafasi ya ubunge wa vijana kupitia tiketi ya CCM mkoa wa Tabora baada ya msanii wa filamu Bi Irene Uwoya kupata kura 34 kati ya 39 zilizopigwa.


Zahara ambaye ni mhitimu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TUMETOKA MBALI TUKO UHURU...TUJIVUNIE NA KUULINDA UHURU WETU DEC 6 TUNASHEREKEA PAMOJA



EARLY BIRD TICKETS FOR $75 ON SALE NOW UNTIL NOV. 10THREGULAR PRICE $100 AFTER NOV. 10THPRICE INCLUSIVE OF:*3 Course Dinner*Diamond & WCB Dancers Live Performance*Ultra Exclusive Red Carpet Feat. Premiere Host*Free Professional Photography Pictures*Elegant Ambiance & Settings*Cash Bar*Ample ParkingFOR TICKETS VISIT: WWW.DIAMONDUSATOUR.COM  

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI ZA MJI WA MOSHI UKIWA KWENYE MAANDALIZI YA KUWA JIJI

Jengo la ofisi ya Mkuu a mkoa wa Kilimanjaro linavyoonekana kwa juu.

Katikati ya mji wa Moshi

Jengo la ofisi ya mkuu wa wilaya ya Moshi linavyoonekana kwa juu.

Eneo la kati jirani na ofisi za mkuu wa wilaya ya Moshi.

Ujenzi wa jengo jipya la Ghorofa jirani kabisa na kipta shoto cha Arusha.



Eneo la katikati ya mji wa Moshi.

Jengo zilipo ofisi za mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro .

Eneo la Shanty town linavyoonekana kwa mbali.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa hili la Katiba, tumetoka kwenye mwanga tunaelekea gizani

Tukio la kushambuliwa kwa mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba ni kiashiria tosha kuwa nchi iko katika hali tete na inaweza kupasuka siku si nyingi.

 

9 years ago

Michuzi

Mjengwablog Kwenye Mtandao Wa Mabloga 18 Afrika Uliozinduliwa Johannesburg

Jana umezinduliwa pale Johannesburg, mtandao wa mabloga 18 wa Sub-Saharan Africa; ‪#‎AfricaBlogging‬ . Ni mtandao wa mabloga wa kimataifa utakaohusika zaidi na masuala ya kukuza demokrasia na uwajibikaji kupitia kazi za kublogi. Nimebahatika kuwa mmoja wa mabloga hao nikiwa na pia mjumbe wangu Chambi Chachage, tukiwakilisha Tanzania. Ukiwa na muda soma makala yangu ya kwanza kwenye mtandao huo;http://www.africablogging.org/time-for-girls-football/

 

9 years ago

Michuzi

Mjengwablog Kwenye Mtandao Mabloga 18 Afrika Uliozinduliwa Johannesburg...

Ndugu zangu, Jana umezinduliwa pale Johannesburg, mtandao wa mabloga 18 wa Sub-Saharan Africa; ‪#‎AfricaBlogging‬ . Ni mtandao wa mabloga wa kimataifa utakaohusika zaidi na masuala ya kukuza demokrasia na uwajibikaji kupitia kazi za kublogi. Nimebahatika kuwa mmoja wa mabloga hao nikiwa na pia mjumbe wangu Chambi Chachage, tukiwakilisha Tanzania. Ukiwa na muda soma makala yangu ya kwanza kwenye mtandao huo;http://www.africablogging.org/time-for-girls-football/

 

10 years ago

Michuzi

Download App Ya Mjengwablog Upate Mengi Kwenye Simu Yako...!

Matukio mbalimbali, Habari za magazetini, Uchambuzi wa Habari, picha, burudani na kusikiliza live Kwanza Jamii  Radio.. http://mjengwablog.com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani