Kwa Bunge hili na hoja hizi, tutapata katiba inayofaa?
MWANICHEFUA naapa! Mmeenda Dodoma tukiwa taifa moja, lakini kwa hisia zenu hizi zilizokosa uzalendo mnaweza mkarudi mkatuachia nchi iliyo vipande vipande. Nasema hata yale ya posho mie wacha tu nikae...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Kwa Bunge hili la Katiba, CCM wameshapiga bao
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Bunge la Katiba lijadili nguvu ya hoja si hoja za nguvu
BUNGE la kujadili katiba mpya limepangwa kuanza rasmi Februari 18 mwaka huu, pale Makao Makuu ya Tanzania, mjini Dodoma. Mijadala itaendeshwa kwa siku 70. Ikibidi zitaongezwa tena siku nyingine 20...
11 years ago
Habarileo08 Feb
Bunge la Katiba hili
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba kwa mujibu wa sheria, huku akiwajumuisha watu mbalimbali wenye umaarufu katika jamii.
10 years ago
Tanzania Daima10 Sep
Hoja 4 zinazotikisa Bunge la Katiba
MAHAKAMA ya Kadhi, Uraia pacha, kiongozi wa umma kumiliki akaunti ya benki nje ya nchi na nafasi tatu za Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni hoja...
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Hoja za wanawake zitimizwe Bunge la Katiba
NI wiki mbili tangu Bunge Maalumu la Katiba lianze vikao vyake kwa ajili ya kujadili rasimu ya pili ya katiba. Lakini inasikitika kuona katika wiki ya kwanza baadhi ya wajumbe...
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Hili Bunge la Katiba limeamua kuchepuka?
EBO! Nyie mlidhani michepuko ni kwenye yale mambo ya nyumba kubwa kwenda nyumba ndogo tu sio eh? Naapa siku hizi kila idara na kila sekta ina michepuko yake. Mnabisha hata...
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
CCM NA BUNGE LA KATIBA: Hoja nyepesi za kukariri
NI ukweli usio na shaka kwamba wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Bunge la Katiba ni wengi kuliko wajumbe kutoka makundi mengine. Kwa maana hiyo, CCM imelihodhi Bunge na...
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Hoja kuamua hatima Bunge la katiba leo
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kE6tE6EXUVY/VBfZhpgSTqI/AAAAAAAGj3Q/7rCMWmCYXlE/s72-c/unnamed.png)
HOJA YA KUSITISHA BUNGE MAALUM LA KATIBA YAHITIMISHWA RASMI
![](http://2.bp.blogspot.com/-kE6tE6EXUVY/VBfZhpgSTqI/AAAAAAAGj3Q/7rCMWmCYXlE/s1600/unnamed.png)