Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hili Bunge la Katiba limeamua kuchepuka?

EBO! Nyie mlidhani michepuko ni kwenye yale mambo ya nyumba kubwa kwenda nyumba ndogo tu sio eh? Naapa siku hizi kila idara na kila sekta ina michepuko yake. Mnabisha hata...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bunge la Katiba hili

Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Florens Turuka akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana wakati wa kutangaza majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba jana. (Picha na Mroki Mroki).RAIS Jakaya Kikwete ametangaza wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba kwa mujibu wa sheria, huku akiwajumuisha watu mbalimbali wenye umaarufu katika jamii.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa Bunge hili la Katiba, CCM wameshapiga bao

>Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba umeingia katika sura mpya ambapo uteuzi wa wajumbe 201 wa Bunge la Katiba umekamilika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwa Bunge hili na hoja hizi, tutapata katiba inayofaa?

MWANICHEFUA naapa! Mmeenda  Dodoma tukiwa taifa moja, lakini kwa   hisia zenu hizi zilizokosa uzalendo mnaweza mkarudi mkatuachia nchi iliyo vipande vipande. Nasema hata yale ya posho mie wacha tu nikae...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge hili ni kama sikio la kufa

Wakati Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walipoanza kikao chao mjini Dodoma mwezi uliopita kwa kumchagua mwenyekiti wa muda ili kuongoza Semina ya Kutunga Kanuni za Bunge hilo, tulishuhudia wakifanya vitimbi na vitendo ambavyo hakika vililidhalilisha Bunge.

 

11 years ago

Mwananchi

Ni kumwonea Nyalandu kwa hili la Bunge

Desemba 20, 2013, nchi ilitikisika baada ya kujiuzulu kwa mawaziri wanne walioguswa na ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuhusu Operesheni Tokomeza Ujangili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge hili Watanzania wamewakosea nini?

TUNATAKA kufahamu, kujua, kuelewa, kufahamishwa, kuelimishwa bila ya kufichwa kutokana na kuona mambo mazito kama hayo yakienda ndivyo sivyo ndani ya Bunge Maalumu la Katiba. Mchakato huu wa kuelekea kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hili ndilo Bunge tuliloambiwa ni la kihistoria?

IJUMAA ya Aprili 25, mwaka huu, sasa 7:23 nilipokea ujumbe mfupi kupitia simu yangu ya kiganjani ambao ulitoka kwa msomaji wa safu hii. Ujumbe huo ulisomeka hivi: “Afadhali wamemaliza Bunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani