Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOJA YA KUSITISHA BUNGE MAALUM LA KATIBA YAHITIMISHWA RASMI

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba toka Kamati namba Tano, Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akisoma taarifa wakati wa mjadala wa jioni bungeni hapo jana 15 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma HOJA ya kusitisha Bunge Maalum la Katiba imehitimishwa rasmi Kisheria kwa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutamka kwamba bunge hilo linaweza kuendelea na shughuli zake. Taarifa hiyo imetolewa jana 15 Septemba, 2014 na Mjumbe wa Kamati namba Tano, Mhe. Dkt....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...

 

11 years ago

Vijimambo

RASIMU KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza kikao cha bunge hilo leo mjini Dodoma, wakati ikiwasilishwa Rasimu ya katiba iliyopendekezwa.

 Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalumu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya ukumbi wa bunge hilo siku ya Jumanne 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa,...

 

11 years ago

Michuzi

RASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

GPL

MO DEWJI AAPISHWA RASMI MBELE YA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA


Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji (wa pili kushoto) akiteta jambo na baadhi ya Wajumbe wenzake wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo wakati wa sherehe fupi za kuapishwa kwa wajumbe hao. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji akielekea kula kiapo cha kulitumikia Taifa Bunge la Katiba.
Mjumbe wa Bunge...

 

11 years ago

Dewji Blog

Bunge Maalum la Katiba lavunjwa rasmi leo mjini Dodoma

10

Makamu wa Pili wa Zanzibar ambaye pia alikuwa ni mjumbe wa Buge Maalum la Katiba, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.

11

Aliyekuwa Makamu wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza bunge hilo mjini Dodoma wakati wa ufungaji wa bunge hilo leo 2 Septemba, 2014.

13

Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye pia alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani