Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, Kuna Tatizo Gani Kula Nyama?

 Je! Ni kawaida asili ya mwanaadam kuwa nakula nyama? Kufuatana na mafunzo ya sanaa ya Yoga, inashauri sana kuepuka madhara yanayosababishwa na athari ya kula nyama ambayo ni mjadala mrefu na uanaleta hoja nyingi katika maisha ya mfumo mzima wa sanaa hiyo.Leo, kama tunajiandaa kuelekea mwaka mpya 2016 na malengo mapya, basi moja ya ushauri na mazungumzo ni kufahamishana na kuhusu mambo kazaa ya sanaa ya Yoga na uhusiano wake wa kutokula nyama kiafya.

Mfumo wa kuchanganya na kuyeyusha chakula...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

"Kuna Tatizo gani Lipumba Kupigwa Nawapongeza sana Polisi kwa Kumpiga"Hii ni kauli ya Lusinde Bungeni

Kulikuwa na mvutano mkali sana bungeni wakati wabunge wakijadili hoja ya Lipumba kupigwa. Hapo chini nimekuwekea michango ya Lusinde na Sadifa waliyoitoa Bungeni:Lusinde: Kwani kupigwa Lipumba ndiyo tatizo, wamepigwa viongozi wangapi hapa, Lipumba siyo wa kwanza kupigwaLusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe, ndiyo nzuri hiyo, siyo wapigwe wengine, kupigwa kazini ndiyo sawa
Lusinde: Bunge linapokwenda mwishoni wabunge wenye hali mbaya majimboni...

 

9 years ago

BBCSwahili

Auwawa kwa 'kula' nyama ya ng'ombe india

Polisi nchini India wamewakamata watu wawili kuhusiana na mauaji ya mtu mmoja muislamu kutokana na uvumi kwamba familia yake imekuwa ikihifadhi na kula nyama.

 

10 years ago

GPL

MWANA KUMILIKI BUCHA SI KULA NYAMA DEILE!

Inakuwaje wanangu? Mishe zikoje kitaa hiyo? Ebana homa ya kitu cha holidei ikoje? Kama ulikuwa hujasanuka dheni nikunyakishe kwamba ni kitu cha bethidei ya Yesu so kuibuka chachi kwa wale Wakristo ndo mpango mzima dheni ukiibuka kitaa ndo bata la kufa mtu bati pliizi liwe aste-aste chaliiangu. Ebana eee…si tupo mapumziko ya holidei so masti tukutane na vichwa vya longi taimu na mastori moo ya mwaka mzima yagongwe ileile....

 

11 years ago

Mwananchi

Njaa yaisukuma familia kula nyama ya paka

Siyo rahisi kwa mtu ambaye anapata chakula kutwa mara tatu, kuamini kuwa kuna binadamu ambao wanaweza kuishi hata siku tatu bila kupata hata mlo mmoja.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto aunguzwa vibaya kwa kula nyama

  Aliyemuunguza ni mama mkubwa siku ya krismasi.
Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Ungindoni kata ya Mji Mwema Kigamboni, jijini Dar es Salaam (jina tunalihifadhi), anadaiwa kuchomwa moto na mama yake mkubwa sehemu mbalimbali za mwili wake kwa kutumia jalo.

Mtoto huyo alifanyiwa ukatili huo Desemba 25, mwaka jana akidaiwa kula vipande viwili vya nyama na hivyo kupewa adhabu na mama yake mkubwa, Rachel Bundala, kwa kuchomwa moto kwenye paja, goti na mikono yote miwili.

SHUHUDA...

 

9 years ago

BBCSwahili

Auawa kwa kula kitoweo cha nyama India

Watu 6 wamekamatwa na polisi nchini India baada ya kumvamia na kumpiga mwanaume mmoja hadi kufa eti alikuwa amekula nyama ya ngombe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kuna siri gani hati za Muungano?

HATIMAYE serikali imetoka mafichoni na kuamua kuziweka hadharani hati halali za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ndiye ametegua kitendawili hicho juzi jioni Ikulu jijini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Rais kutibiwa Marekani kuna ubaya gani?

RAIS wangu, ‘inji hii, washa tu babaangu’ kajisemea Lyatonga! Wahenga walisema kunya anye kuku, akinya bata kaharisha! Kuna watu wako hapa, Rais wangu hata ufanye nini kwao hamna jema. Jamani...

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Kuna dhambi gani kudai Serikali ya Tanganyika?-2

>Wiki iliyopita nilijadili katika safu hii kuhusu haja ya kuwa na Serikali ya Tangangika.  Ninawashukuru wote walionitumia ujumbe wa simu kuchangia hoja zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani