Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIRA: Kuna dhambi gani kudai Serikali ya Tanganyika?-2

>Wiki iliyopita nilijadili katika safu hii kuhusu haja ya kuwa na Serikali ya Tangangika.  Ninawashukuru wote walionitumia ujumbe wa simu kuchangia hoja zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KUDAI TANGANYIKA KULIANZIA BUNGENI 1993 - 5

Tulieleza jinsi wabunge 55 walivyotaka kuirudisha Serikali ya Tanganyika na jinsi baadhi yao ‘walivyonyamazishwa’ kwa kupewa uwaziri na Mwalimu Julius Nyerere alivyozima hoja. Tuliona pia maoni ya Nyerere kwamba lengo lake lilikuwa ni kuwa na serikali moja Tanzania. Wazanzibari wako wazi hata leo, wanapinga muundo wa muungano wa serikali moja na badala yake wanataka ule wa serikali tatu na wengine mbili. Sababu kubwa...

 

11 years ago

GPL

KUDAI TANGANYIKA KULIANZIA BUNGENI 1993 - 4

Tunaendelea kukumbusha suala la kudai Tanganyika lililoanza rasmi mwaka 1993 bungeni na wakati huo waanzilishi walikuwa ni wabunge wa CCM. Suala hili ni nyeti na linawagusa wote, wananchi wa Tanzania kwa ujumla wao, bila kujali itikadi zao za siasa. Mkuu wa Mkoa wa Mara wa wakati huo, Joseph Butiku (pichani) Agosti 23, 1994, alitoa kauli kali kwamba msimamo uliokuwa umefikiwa na CCM ni kuwa na serikali mbili katika muungano...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM kina haki gani kudai chama makini?

UKIENDA sehemu inayouzwa pombe hukosi kusikia majisifu (maneno anayosema mtu kujitukuza kwa nia ya kujionesha kuwa bora) ya walevi. Wengine hugawa vinywaji, kuku na nyama za kuokwa lakini maisha ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kuna siri gani hati za Muungano?

HATIMAYE serikali imetoka mafichoni na kuamua kuziweka hadharani hati halali za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ndiye ametegua kitendawili hicho juzi jioni Ikulu jijini...

 

9 years ago

Michuzi

Je, Kuna Tatizo Gani Kula Nyama?

 Je! Ni kawaida asili ya mwanaadam kuwa nakula nyama? Kufuatana na mafunzo ya sanaa ya Yoga, inashauri sana kuepuka madhara yanayosababishwa na athari ya kula nyama ambayo ni mjadala mrefu na uanaleta hoja nyingi katika maisha ya mfumo mzima wa sanaa hiyo.Leo, kama tunajiandaa kuelekea mwaka mpya 2016 na malengo mapya, basi moja ya ushauri na mazungumzo ni kufahamishana na kuhusu mambo kazaa ya sanaa ya Yoga na uhusiano wake wa kutokula nyama kiafya.

Mfumo wa kuchanganya na kuyeyusha chakula...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Rais kutibiwa Marekani kuna ubaya gani?

RAIS wangu, ‘inji hii, washa tu babaangu’ kajisemea Lyatonga! Wahenga walisema kunya anye kuku, akinya bata kaharisha! Kuna watu wako hapa, Rais wangu hata ufanye nini kwao hamna jema. Jamani...

 

10 years ago

GPL

KUNA UBAYA GANI KUFUATILIA NYENDO ZA MPENZI WAKO?

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea nyema na maandalizi ya sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya. Mimi namshukuru Mungu kwa kila jambo ambalo amekuwa akinitendea katika kila siku ya maisha yangu na nimuombe tu anijaalie niwe miongoni mwa wale watakaouona mwaka 2015 wakiwa wazima. Mpenzi msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kusalitiwa na wapenzi wao waliotokea...

 

11 years ago

GPL

ASICHOKIPENDA MPENZI WAKO, KUNA HAJA GANI KUKILAZIMISHA?

NI matumaini yangu kuwa umzima unaendelea vyema na majukumu ya kila siku kama kawaida. Mpenzi msomaji, hakuna kitu kizuri kama wapenzi waliotokea kupendana kwa dhati kuridhiana katika kila jambo. Tufahamu kwamba kutofautiana katika mambo ambayo yanagusa maisha hasa kwa wanandoa ni tatizo linaloweza kusababisha nyufa na furaha kutoweka. Mara kwa mara nimekuwa nikizungumza na watu walio kwenye ndoa, wengi wanaeleza kuwa kuna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani