KUDAI TANGANYIKA KULIANZIA BUNGENI 1993 - 5
![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*r7p5C81WSSXqFPpU9yAaCdDlHpF5*Mcq2H4ccfqOlunJh3afjOGpZrpdbQKt56U6zWmRyT6mWUZtflNV6Nq56L/salim.jpg?width=650)
Tulieleza jinsi wabunge 55 walivyotaka kuirudisha Serikali ya Tanganyika na jinsi baadhi yao ‘walivyonyamazishwa’ kwa kupewa uwaziri na Mwalimu Julius Nyerere alivyozima hoja. Tuliona pia maoni ya Nyerere kwamba lengo lake lilikuwa ni kuwa na serikali moja Tanzania. Wazanzibari wako wazi hata leo, wanapinga muundo wa muungano wa serikali moja na badala yake wanataka ule wa serikali tatu na wengine mbili. Sababu kubwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIkog6kXCTHLd9EzDfqTq78gO-gH7l3QxG4vFhbjYbLfXa263fVR696Djs*La*FbN0yRE6B8I8K2hYhGR1WJw3Bu/tiku.jpg?width=650)
KUDAI TANGANYIKA KULIANZIA BUNGENI 1993 - 4
11 years ago
Mwananchi12 Mar
DIRA: Kuna dhambi gani kudai Serikali ya Tanganyika?-2
10 years ago
BBC05 Aug
SA police 'find car stolen in 1993'
11 years ago
Habarileo30 Jan
TICTS marufuku kudai dola
WIZARA ya Fedha imeipiga marufuku Kampuni ya Kuhudumia Kontena Bandarini (TICTS), kulazimisha wateja kulipia huduma kwa dola ya Marekani. Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum alisema Dar es Salaam jana kuwa Wizara imeamuru kufutwa kwa masharti yanayolazimisha wateja kulipia huduma kwa fedha za kigeni.
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Wajitokeza na kudai watoto wa Mandela
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Wananachi wahimziwa kudai risiti
WANANCHI wametakiwa kudai risiti kila wakati wanaponunua bidhaa au kupata huduma ili kuweka uwiano mzuri wa ulipaji kodi na ushindani wa biashara. Wito huo ulitolewa jijini Dar es Salaam jana...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
RCGA waandamana kudai kibali
MAANDAMANO ya zaidi ya kilometa 100 yaliyofanywa na wanachama wa Chama cha Wakulima wa Miwa bonde la Ruhembe (RCGA) kwenda kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa wakidai kibali cha kufanya...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Mwekezaji aliyepokwa ardhi kudai fidia
BAADA ya Halmashauri ya wilaya ya Kilosa kuligawa eneo la mwekezaji Mees Estate Ltd kwa wanakijiji cha Mbigili, Kitongoji cha Mateteni kwa madai kuwa imefutiwa umiliki, uongozi wa mwekezaji huyo...
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Wakulima Bariadi sasa kudai fidia
SAKATA la mbegu za pamba zilizogoma kuota limechukua sura mpya baada ya baadhi ya wakulima wa zao hilo wilayani Bariadi, Simiyu kuanza kukusanya saini zao ili waweze kuwasilisha madai ya...