TICTS marufuku kudai dola
WIZARA ya Fedha imeipiga marufuku Kampuni ya Kuhudumia Kontena Bandarini (TICTS), kulazimisha wateja kulipia huduma kwa dola ya Marekani. Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum alisema Dar es Salaam jana kuwa Wizara imeamuru kufutwa kwa masharti yanayolazimisha wateja kulipia huduma kwa fedha za kigeni.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo29 Jan
TICTS yasitisha malipo kwa dola za Marekani
KAMPUNI ya Kupakua na Kupakia Kontena Bandarini (TICTS) imesitisha uamuzi wake wa kufanya malipo yote kwa dola za Marekani, uliokuwa uanze wiki hii.
10 years ago
MichuziPOLISI YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA VIJANA WA CUF,WATAKAO ANDAMANA NGUVU YA DOLA ITATUMIKA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia maandamano ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) na kusema watakaoandamana kesho nguvu ya dola itatumika
Akizungumza na waandishi wa habari leo,Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP),Suleiman Kova amesema wamewashauri vijana hao na kusema wataandamana hivyo ni lazima nguvu itumike kuzima maandamano hayo kutokana na kuzuia kufanyika kwa shughuli...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-J4Q91QIejus/Xmd_f1Z48FI/AAAAAAAAIZg/r3hbZfRDPUw9DGYGG6R1B6If3QC1hKF4ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200310_123009_204.jpg)
KALIST ASEMA CCM HAITATUMIA DOLA KUTAKA MADARAKA BALI DOLA KWA NI KUTUMIA KWA KUTUMIKIA WANANCHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-J4Q91QIejus/Xmd_f1Z48FI/AAAAAAAAIZg/r3hbZfRDPUw9DGYGG6R1B6If3QC1hKF4ACLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200310_123009_204.jpg)
Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro akiongea na vyombo vya habari leo leo jijini Arusha
Na Ahmed Mahmoud Arusha
CHAMAcha Mapinduzi,CCM, hakitatumia dola kubakia madarakani bali kitaitumia dola katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na kuboresha huduma za jamii.
Hayo yameelezwa leo jijini Arusha kwenye ukumbi wa Hotel ya Arusha Palace, na aliyekuwa Meya wa Jijiji la Arusha,Kalisti Lazaro,alipokuwa akitolea ufafanuzi kauli ya...
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
TICTS yaimarisha huduma zao
MENEJA wa Operesheni katika kitengo kinachoshughulikia upakuaji na upakiaji wa makontena bandarini (TICTS), Donald Talawa amesema majukumu ya kitengo hicho yameimarika zaidi baada ya kupata vifaa vya kisasa vyenye thamani...
10 years ago
AllAfrica.Com01 Dec
TICTS Donates Sh16 Million Textbooks
AllAfrica.com
AS part of its Corporate Social Responsibility (CSR), the Tanzania International Container Terminal Services Limited (TICTS) has donated textbooks worth 16m/- to Mivinjeni Primary School, in a bid to create and improve learning environment. Mivinjeni ...
11 years ago
Habarileo25 Jan
TICTS yakataa malipo kwa Shilingi
KAMPUNI ya Kuhudumia Kontena Bandarini (TICTS), imepiga marufuku wateja wake kulipa kwa Shilingi kuanzia Jumatatu na kutaka walipe kwa dola ya Marekani. Aidha, imeagiza wateja hao kufanya malipo hayo kupitia tawi la benki moja pekee katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
10 years ago
Vijimambo08 Dec
TICTS FAMILY DAY YANOGA JIJINI DAR
9 years ago
MichuziTICTS yaipongeza TPA kwa mageuzi yanayofanyika bandari
10 years ago
Habarileo31 Dec
Mwakyembe achachamaa, amng’ang’ania bosi TICTS
MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya ushushaji mizigo bandarini (TICTS), Paul Wallace na menejimenti yake wanatakiwa kufika leo saa 2:00 asubuhi ofisini kwa Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kutoa maelezo kwa kukiuka Sheria na kutumia viwango vya ubadilishaji fedha za kigeni, tofauti na vile vinavyoelekezwa na Benki Kuu Tanzania (BoT).