Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TICTS yasitisha malipo kwa dola za Marekani

KAMPUNI ya Kupakua na Kupakia Kontena Bandarini (TICTS) imesitisha uamuzi wake wa kufanya malipo yote kwa dola za Marekani, uliokuwa uanze wiki hii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

TICTS yakataa malipo kwa Shilingi

KAMPUNI ya Kuhudumia Kontena Bandarini (TICTS), imepiga marufuku wateja wake kulipa kwa Shilingi kuanzia Jumatatu na kutaka walipe kwa dola ya Marekani. Aidha, imeagiza wateja hao kufanya malipo hayo kupitia tawi la benki moja pekee katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

TICTS marufuku kudai dola

WIZARA ya Fedha imeipiga marufuku Kampuni ya Kuhudumia Kontena Bandarini (TICTS), kulazimisha wateja kulipia huduma kwa dola ya Marekani. Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum alisema Dar es Salaam jana kuwa Wizara imeamuru kufutwa kwa masharti yanayolazimisha wateja kulipia huduma kwa fedha za kigeni.

 

10 years ago

GPL

ATAPELI KWA KUTUMIA DOLA ZA MAREKANI, ACHEZEA KICHAPO

Stori: Saimeni Mgalula, Mbeya
MAKUBWA! Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, mkazi wa Mji wa Tunduma, Wilaya ya Momba mkoani Mbeya, amechezea kipigo cha ‘kufa mtu’ kufuatia madai ya kutaka kumwibia kwa kutumia dola za Kimarekani mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Anna. Akiwa mikononi mwa polisi. Tukio hilo la aina yake, lilijiri muda wa asubuhi, hivi karibuni maeneo ya Kisimani katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani

>Katika ukurasa wangu wa facebook mnamo tarehe 25 Aprili 2015 niliandika kuhusu sababu za shilingi kuporomoka thamani na majawabu ya namna ya kurejesha thamani halisi ya sarafu yetu.

 

10 years ago

Vijimambo

WHO YATOA VIFAA VYA DOLA ZA MAREKANI 46,000 KWA SERIKALI YA TANZANIA KUJIAMI NA EBOLA‏

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando, moja ya kompyuta na baadhi ya vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Marekani 46,000 vilivyotolewa na WHO kwa Serikali ya Tanzania Dar es Salaam leo, kwa ajili ya maandalizi ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na ebola.Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), na Katibu Mkuu wa Wizara ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

WHO yatoa vifaa vya dola za Marekani 46,000 kwa serikali ya Tanzania kujihami na Ebola

1

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando, moja ya kompyuta na baadhi ya vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Marekani 46,000 vilivyotolewa na WHO kwa Serikali ya Tanzania Dar es Salaam jana,  kwa ajili ya maandalizi ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na ebola.

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), na Katibu Mkuu wa Wizara ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAREKANI YATOA DOLA BILIONI 30 KWA AJILI YA KULINDA MAZINGIRA, KUKUZA UHIFADHI NA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu na balozi wa marekani Mark Childress wakisaini  mkataba wa dola Za kimarekani million 14.5 katika hotel ya Treetops Lodge ilivyo hifadhi ya wanyamapori inayosimamiwa na wananchi (WMA)  ya Randlen monduli Arusha Kwa ajili ya mradi wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini Tanzania. (Picha na Loveness Bernard) Waziri wa maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akibadilishana mkataba na balozi wa marekani Mark Childress.

Serikali iya Marekani...

 

10 years ago

GPL

WHO YATOA VIFAA VYA DOLA ZA MAREKANI 46,000 KWA SERIKALI YA TANZANIA KUJIAMI NA EBOLA‏

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando, moja ya kompyuta na baadhi ya vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Marekani 46,000 vilivyotolewa na WHO kwa Serikali ya Tanzania Dar es Salaam leo,  kwa ajili ya maandalizi ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na ebola. Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya…...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani