Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TICTS yakataa malipo kwa Shilingi

KAMPUNI ya Kuhudumia Kontena Bandarini (TICTS), imepiga marufuku wateja wake kulipa kwa Shilingi kuanzia Jumatatu na kutaka walipe kwa dola ya Marekani. Aidha, imeagiza wateja hao kufanya malipo hayo kupitia tawi la benki moja pekee katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

TICTS yasitisha malipo kwa dola za Marekani

KAMPUNI ya Kupakua na Kupakia Kontena Bandarini (TICTS) imesitisha uamuzi wake wa kufanya malipo yote kwa dola za Marekani, uliokuwa uanze wiki hii.

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatangaza likizo ya malipo ya mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 160 kwa wateja wake ili kuwanusuru na athariza janga la COVID - 19.

Benki ya Exim yatangaza likizo ya malipo ya mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 160 kwa wateja wake ili kuwanusuru na athari za janga la COVID - 19.
Benki ya Exim imetangaza msamaha wa likizo ya malipo ya mikopo kwa wateja wake wakubwa, wa kati na wadogo walipo katika sekta zilizo athirika zaidi kiuchumi kutokana na athari za mlipuko wa ugonjwa wa virus vya Corona (COVID 19). Hatua hiyo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na benki hiyo katika kuwasaidia kifedha wateja wake...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani Shilingi inahujumiwa na Mabenki?

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani

Shilingi inahujumiwa na Mabenki? – Zitto Kabwe[1]

Katika ukurasa wangu wa facebook mnamo tarehe 25 Aprili 2015 niliandika kuhusu sababu za shilingi kuporomoka thamani na majawabu ya namna ya kurejesha thamani halisi ya sarafu yetu. Nilieleza “Shilingi kuporomoka dhidi ya dola na kuvuka 1$/2000TS kunasababishwa na sababu kadhaa 1) Woga wa uchaguzi na hivyo Dola nyingi kutoingia nchini (FDI etc) kusikilizia Serikali ijayo...

 

9 years ago

Michuzi

TICTS yatoa Tshs 3m/- kufanikisha shughuli za wiki ya Nenda kwa usalama barabarini kwa Mkoa wa Kipolisi Temeke

 Kampuni ya TICTS yakabidhi mchango wa Tshs 3,000,000/= kufanikisha shughuli za wiki ya Nenda kwa usalama barabarini kwa Mkoa wa Kipolisi Temeke Kanda maalum ya Dar-es-salaam.Pichani Mkurugenzi wa Shughuli za maendele0 (TICTS) Bw Donald Talawa akikabidhi hundi kwa Kamanda wa Trafiki Mkoa wa Temeke SP R.T Shemndolwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani. Viongozi wa Kampuni ya TICTS.Bi Carol Owenya,Bw Donald Talawa na Bw John Masasi wakimsikiliza Kamanda wa Trafiki Mkoa wa...

 

9 years ago

Michuzi

TICTS yaipongeza TPA kwa mageuzi yanayofanyika bandari

Uongozi wa kitengo cha kimataifa cha makasha (TICTS) umepongeza juhudi zinazoendelezwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) za kuimarisha bandari ya Dar es Salaam.  Akiongea wakati wa kukaribisha kuwasili kwa meli kubwa kabisa kuwahi kufika katika bandari hiyo, Afisa Mkuu Mtendaji (CEO) wa TICTS, Bw. Bw. Paul Wallace aliuita ujio huo kuwa wa muhimu sana kwa maendeleo ya bandari hapa nchini.  “Tunaona maendeleo makubwa ya kiutendaji katika bandari yanayopelekea mashirika makubwa kama Maersk...

 

5 years ago

Michuzi

TICTS YAKABIDHI VIFAA VYA THAMANI YA MILIONI 182/- KWA WIZARA YA AFYA, MGANGA MKUU WA SERIKLI ATOA SHUKRANI KWA SEKTA BINAFSI


 Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Abel Makubi (wa pili kushoto) pamoja na  Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Angelina Ngalula (kushoto) wakiushukuru Uongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya  kuhudumia Makontena Tanzania katika bandari ya Dar es salaam (TICTS), Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo,Horace Hui (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo wa TICTS, Donald Talawa kwa mchango wao wa kukabidhi msaada   wa vifaa  mbalimbali vyenye thamani ya Sh.milioni 182,...

 

10 years ago

Dewji Blog

TICTS yakabidhi msaada wa vitabu kwa shule ya msingi Mivinjeni jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuini ya Ushushaji Mizigo Bandarini Tanzania International Container Terminal (TICTS) Paul Wallace akipeana mikono na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mivinjeni baaada ya kuwakabidhi msaada wa vitabu. Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuini ya Ushushaji Mizigo Bandarini Tanzania International Container Terminal (TICTS) Paul Wallace akiwakabidhi Vitabu wanafunzi wa Shule ya msingi Mivinjeni . 2 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Green Waste Pro Ltd wakamilisha kampeni ya usafi kwa ufanisi, TICTS nao washiriki

DSC_0005

Baadhi ya wafanyakazi Kampuni ya Kupakua na Kupakia Kontena Bandarini (TICTS) wakiwasili kwenye ufukwe wa bahari ya hindi maeneo Kata ya Kivukoni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kusafisha fukwe hizo katika kuhitimisha kampeni usafi iliyokuwa ikiendeshwa na Kampuni ya Green Waste Pro Ltd mwishoni mwa juma.

Na Mwandishi wetu

KAMPENI kubwa ya kuhamasisha usafi iliyokuwa inaendeshwa kampuni ya Green Waste Pro Ltd katika kata tatu za katikati ya jiji imemalizika kwa ufanisi mkubwa kiasi cha...

 

10 years ago

GPL

GREEN WASTE PRO LTD WAKAMILISHA KAMPENI YA USAFI KWA UFANISI, TICTS NAO WASHIRIKI‏

Baadhi ya wafanyakazi Kampuni ya Kupakua na Kupakia Kontena Bandarini (TICTS) wakiwasili kwenye ufukwe wa bahari ya hindi maeneo Kata ya Kivukoni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kusafisha fukwe hizo katika kuhitimisha kampeni usafi iliyokuwa ikiendeshwa na Kampuni ya Green Waste Pro Ltd mwishoni mwa juma. Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TICTS,… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani