CCM kina haki gani kudai chama makini?
UKIENDA sehemu inayouzwa pombe hukosi kusikia majisifu (maneno anayosema mtu kujitukuza kwa nia ya kujionesha kuwa bora) ya walevi. Wengine hugawa vinywaji, kuku na nyama za kuokwa lakini maisha ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Mar
DIRA: Kuna dhambi gani kudai Serikali ya Tanganyika?-2
>Wiki iliyopita nilijadili katika safu hii kuhusu haja ya kuwa na Serikali ya Tangangika. Ninawashukuru wote walionitumia ujumbe wa simu kuchangia hoja zao.
11 years ago
MichuziWafanyakazi Ruvuma watakiwa kutimiza wajibu na kisha kudai haki
Na Nathan Mtega wa demashonews,Songea
SERIKALI ya mkoa wa Ruvuma imeendelea kuwasihi wafanyakazi wa sekta zote nchini wasijenge zaidi utamaduni wa kudai haki bila kutimiza wajibuwao kwanza kwa sababu kauli mbiu za vyama vingi vya wqafanyakazi kikiwemo chama cha walimu nchini ambacho kauli mbiu yake ni wajibu na haki.
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo,Mh. Abdula Lutavi
-----------------
Kauili hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Namtumbo Abdula Lutavi kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Ruvuma...
10 years ago
Habarileo27 Sep
Wataka marekebisho ya sheria kuwapa haki abiria wa mabasi kudai fidia
SERIKALI imeshauriwa kufanya marekebisho ya sheria za usalama barabarani ziwezeshe kutoa haki kwa mtumiaji wa mabasi anapopata ajali, alipwe bima kama ilivyo kwa watumiaji wa ndege na meli.
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Ongezeko la ajali za barabarani, madhara yake kiuchumi na haki ya kudai fidia
Ajali za barabarani zimekuwa ni janga kubwa kwa taifa letu. Ajali hizi kwa muda wa hivi karibuni zimeongezeka sana na kusababisha watu kufariki dunia, kupotelewa mali, kupata majeraha, kupata ulemavu wa kudumu na watu wengi wamejikuta maskini kwa sababu ya ajali za barabarani. Wengine wanafia njiani wakihangaika kupata haki zao.
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Sasa kazi ni moja tu, kudai Tume Huru ya Uchaguzi ili haki itendeke
Tunapouanza mwaka 2015 tujue kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu kwa wabunge, madiwani pamoja na rais.
5 years ago
CCM Blog30 May
KIFO CHA MWAFRIKA GEORGE FLOYD: MAANDAMANO YATANDA KOTE MAREKANI KUDAI HAKI
Mwendesha mashtaka akizungumzia makosa ya mauaji na kuua bila kukusudia.Waandamanaji wakusanyika nje ya Ikulu pamoja na maeneo mengine juu ya kifo cha raia mweusi George Floyd.Waandamanaji wanakabiliana na polisi katika miji mbalimbali nchini Marekani juu ya mauaji ya raia mweusi wa Marekani ambaye hakuwa na silaha aliyekufa mikononi mwa polisi huko Minneapolis.Gavana wa Minnesota amesema kwamba kifo cha George Floyd aliyekuwa kizuizini kimeonesha mauaji ya kiholela.New York, Atlanta na...
11 years ago
Michuziwasanii wavamia bunge maalumu la katiba kudai haki zao zitambulike katka katiba mpaya dodoma
Wsanii 12 wakiwemo viongozi toka Shirikisho la muziki, Shirikisho la Filamu, Shirikisho la Sanaa za ufundi, Mtandao wa Wanamuziki Tanzania walifunga safari na kuvamia Dododma na kuwa na mfululizo wa mikutano na wabunge mbalimbali ili kuwashawishi waunge mkono vipengele viwili ambavyo wasanii wanavitaka katika Katiba 1. Kundi la wasanii kutambuliwa katika Katiba kama vile walivyotambuliwa Wakulima, wafugaji, wavuvi na wafugaji walivyotajwa 2. Milliki Bunifu kwa kiingereza Intellectual...
10 years ago
Vijimambo31 Jul
CHAMA CHA MAPINDUZI CCM ZANZIBAR CHATOA TAMKO JUU YA KUJITOA KWENYE CHAMA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA.
Katibu wa CCM Mkoa Mjini Mohammed Omar Nyawenga akitoa taarifa ya Chama hicho kwa Waandishi wa Habari kuhusu kujitoa ndani ya Chama Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa katika mkutano uliofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mjini Borafia Silima akitoa ufafanuzi katika mkutano uliohudhuriwa na wajumbe wa ngazi mbali mbali za Chama na waandishi wa Habari Afisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia mkutano huo...
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia mkutano huo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania