AIBU KUBWA: MGOMBEA URAIS AANGUA KILIO JUKWAANI,ANGALIA TUKIO HILI
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha Chauma, Mohammed Masod Rashid, amejikuta akiangua kilio jukwaani na kumpigia magoti Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, kumuomba awaachie huru masheikh wa Jumuiya ya Mihadhara ya Dini ya Kiislamu (Uamsho) waliopo gerezani.
Tukio hilo lilitokea katika mkutano wa hadhara wakati akifungua kampeni za chama hicho visiwani hapa.
Mgombea huyo alivuta hisia za wananchi na kila aliyekuwa akipita njia katika eneo hilo la kiwanja cha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mzalendo Zanzibar12 Sep
Mgombea urais aangua kilio Jukwaani
Mgombea urais wa Zanzibar kwa mwavuli wa CHAUMA, Mohamed Masoud Rashid akipiga magoti akiwa juu ya jukwaa kuashiria unyeyekevu kwa Rais Jakaya Kikwete, akimuomba kuwaachia huru Masheikh wa Uamsho ambao wako gerena kwa muda mrefu. By […]
The post Mgombea urais aangua kilio Jukwaani appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
GPLMGOMBEA MOROGORO AANGUA KILIO KISA KUSHINDWA
10 years ago
Vijimambo29 Apr
AK47 Hakuwepo Kushuhudia Tukio Hili Kubwa Kwa Watoto Mapacha Aliowaacha

Watoto mapacha wa Emmannuel Mayanja Hummertone aka AK47 wamebatizwa.
Maggie Kiwesi na AK47 Emmanuel Mayanja walikuwa na watoto watatu wakiwemo mapacha wawili wameletwa kutoka nje ya nchi na kuletwa Uganda kwa ajili ya kubatizwa, Inasikitisha marehemu AK47 hakuwepo kushuhudia tukio hili kubwa kwa watoto wake.Watoto hao wamebatizwa siku “Kaka yake na AK47 Pallaso alipost picha kwenye ukurasa wa instagram picha yake na watoto hao na akaandika chini yake “Guess who got baptized today in the name...
10 years ago
Vijimambo
TUKIO ZIMA WAKATI DKT. MAGUFULI ACHAGULIWA KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA KUPITIA CCM

Dkt. Magufuli ameibuka mshindi kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake, Balozi Amina Salun Ali akipata kura 253 na Dkt....
11 years ago
GPL
WEMA AANGUA KILIO!
11 years ago
GPL
MAINDA AANGUA KILIO KANISANI
10 years ago
GPL
PENNY AANGUA KILIO BSS
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Diamond aangua kilio ukumbini!
Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akilia.
Musa mateja
SIYO sinema! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda, twende na Ijumaa Wikienda.
Tukio hilo ambao bado limo midomoni mwa mashabiki wake, lilijiri usiku wa kuamkia Boxing Day (Desemba 26, 2015) ndani ya ‘Uwanja wa Taifa wa Burudani’ Dar Live jijini Dar ambapo nyota huyo alikuwa...
10 years ago
Bongo Movies26 Aug
Ray Aangua Kilio Ukumbini!
BONGE la soo! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni alijikuta akiangua kilio ukumbini baada ya mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza kufananishwa na marehemu Steven Kanumba.
Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta, jijini Dar kulipokuwa na fainali za Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo washiriki 10 ndiyo walikuwa wakiwania kitita cha shilingi milioni 50.
Mara baada ya mshindi...