SERIKALI YA CCM KUTOA MIL 150 KILA KATA DAR KWA WAJASILIAMALI
Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. SERIKALI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imepanga kutoa shilingi milioni 150 kwa kila Kata ya Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali kimikopo ili kukuza biashara zao. Kauli hiyo imetolewa na Mgombea mwenza wa CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo29 Dec
Wazazi CCM wagawa ardhi kwa kila kata
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Mjini, imezigawia Jumuiya zake za kata ardhi yenye ukubwa wa hekari moja kwa lengo la kuziendeleza kiuchumi.
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Serikali yatakiwa kutimiza ahadi za ujenzi wa zahanati kwa kila kata
Diwani wa kata ya Ololosokwani na Mkurugenzi wa Irkiramat Foundation (RAMAT) Bw. Yannick Ikayo Ndoinyo akiangalia kitanda cha kujifungulia wakimama kwenye Zahanati ya Sero ambayo kwa siku inatibu wagonjwa 50 na zaidi ikiwa na daktari mmoja huku wakazi wanaofuata huduma hiyo kutoka kata hiyo na ya jirani Soitosambu kutembea umbali mrefu kwa Kilometa 7-15 kupata huduma ya afya.(Picha Zainul Mzige wa MOblog)
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro
Wakazi wa vijiji vya Ololosokwan, Soit-Sambu, Njoroi na...
10 years ago
VijimamboWAJASILIAMALI 150 WAPATIWA MAFUNZO MOSHI.
Baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo.Mkurugenzi wa Taasisi ya Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki na Kusinin(ESAURP) Prof,Ted Maliyamkono akzungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wajasiliamali wadogo wa mkoa wa Kilimanjaro yanayofanyika katika chuo cha VETA Moshi.Badhi ya washiriki wa mafunzo hayo ya siku tano.Mjumbe wa Bodi ya Taasisi ya fedha ya FSDT ,Erick Masinda...
9 years ago
Vijimambo01 Oct
MWIGULU NCHEMBA ATUA KWA WAMASAI SIMANJIRO,OPERATION YAKE YA KATA KWA KATA NI USHINDI WA KIMBUNGA KWA CCM
9 years ago
Vijimambo30 Sep
MWIGULU NCHEMBA ATUA KWA MBOWE NA MBATIA,SAME NA MWANGA...CCM YAENDELEA KUSAKA KURA KATA KWA KATA
10 years ago
GPLDIWANI WA KATA YA VIJIBWENI (CCM), ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WAZAZI YA CCM KATA YA SINZA YAWASHUKURU WANACHAMA WAKE KWA KUKIPA USHINDI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akiwahutubia wanaccm wa Kata ya Sinza katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru kufuatia kukipa ushindi chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni. Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Cholaje akihutubia katika mkutano huo.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (kulia), akielezea mafanikio ya maendeleo ya wilaya hiyo pamoja na...
9 years ago
Michuzi01 Oct
MWIGULU NCHEMBA ASAKA KURA ZA CCM KATA KWA KATA,ATUA HAI,VUNJO,SAME,ARUMERU NA MWANGA
9 years ago
Vijimambo06 Sep
JIMBO LA ILALA WATENGA MIL 300 KUKOPESHA WAJASILIAMALI
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ilala, Mussa Hassan Zungu amemweleza mgombea...