Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDANI YA KLABU YA YANGA, YADAIWA ZAIDI YA BILIONI MBILI ZAPOTEA KATIKA MAZINGIRA YA KIESCROW

Taarifa  zinadai ya kwamba zaidi ya shilingi bilioni mbili za klabu ya YANGA zimetafunwa na wajanja wasiojulikana mpaka sasa,Inasemekana ubadhirifu huo umefanyika na baadhi ya wafanyakazi waliomaliza muda wao hivi karibuni,
Baadhi ya majina ya wafanyakazi wa zamani wakiongozwa na aliyekuwa katibu mkuu wa klabu hiyo bwana Beno Njovu jana walipelekwa kituo cha polisi cha Central kuhojiwa kutokana na ubadhirifu huo.
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya klabu hiyo kimesema zaidi ya bilioni...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bilioni 301/- zapotea kwa uchafu wa mazingira

TANZANIA inapoteza jumla ya shilingi bilioni 301 kila mwaka kama gharama ya kukabiliana na madhara ya uchafu wa mazingira.

 

9 years ago

Global Publishers

KADCO yaokoa zaidi ya bilioni 2 Uwanja wa Ndege wa KIA ndani ya wiki 1

Kaimu Mkurugenzi wa KADCO ,Bakari Murusuri |(Katikati) kushoto kwake ni mkurugenzi wa shughuli mama za kiwanja na huduma KADCO,Christopher  Mukoma na kulia kwake ni Meneja usalama wa Kiwanja, Justine Kisusi walipokutana na wanahabari . Kaimu mkurug4e3nzi wa KADCO ,Bakari Murusuri akizung4umza na wanahabari (hawako pichani ) kuhusu matukio mbalimbali yaliyojitokeza katika uwanja huo. Uwanja wa ndege wa kimataifa wa  Kilimanjaro (KIA) Eneo la ndani la uwanja wa ndege wa KIA.
Na Dixon...

 

10 years ago

Michuzi

FUJO KATIKA SHOW YA DIAMOND ILIYOFANYIKA NCHINI UJERUMANI YADAIWA KUSABABISHA HASARA YA EURO 300,000,YADAIWA PROMOTA HAKUWA NA BIMA.

PROMOTER BRITTS EVENT MATATANI MJINI STUTTGART,UJERUMANIPolisi wamesema mpaka kieleweke, M-Nigeria Roho Juu
Stuttgart,Ujerumani,Anayejiita promota Biritts Event - inayomilikiwa na Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria amejikuta katika mashaka baada ya ripoti ya polisi kuthibitsha jumla ya hasara ya Euro 300,000(Tsh.600 Million) zilizo sababishwa na fujo ya siku ya jumamosi 30 Augost 2014 baada ya msanii wa NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATINUMZ kuchelewa kufika ukumbini mjini...

 

11 years ago

Ykileo

ZAIDI YA DOLA BIL. 400 ZAPOTEA KUTOKANA NA UHALIFU MTANDAO

Pamoja na kua na ugumu wa kupata takwimu halisi za pesa zinazopotea kutokana na uhalifu mtandao, bado takwimu zimesisitizwa kutolewa kupitia ripoti ndogo ndogo zinazo andaliwa kwa ushirika wa makampuni ya usalama mitandao na hatimae ripoti ya pamoja (Kubwa).


Ripoti ndogo za awali tayari zimesha anza kutoka ,  hadi hivi sasa mbili kutoka MacAfee na pricewaterhousecoopers (PWC) zi mesha wekwa mitandaoni ilikutoa ruhusa kupitiwa na jamii mbali mbali huku ripoti nyingine zikiendelea...

 

9 years ago

Michuzi

KADCO YAOKOA ZAIDI YA BILIONI 2 UWANJA WA NDEGE WA KIA NDANI YA WIKI MOJA.

Kaimu Mkurugenzi wa KADCO ,Bakari Murusuri |(Katikati) kushoto kwake ni mkurugenzi wa shughuli mama za kiwanja na huduma KADCO,Christopher Mukoma na kulia kwake ni Meneja usalama wa Kiwanja, Justine Kisusi walipokutana na wanahabari . Kaimu mkurug4e3nzi wa KADCO ,Bakari Murusuri akizung4umza na wanahabari (hawako pichani ) kuhusu matukio mbalimbali yaliyojitokeza katika uwanja huo. Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Eneo la ndani la uwanja wa ndege wa...

 

5 years ago

Michuzi

Barabara za lami katika Mji wa Serikali kugharimu zaidi ya Bilioni 89

Na. Frank Mvungi na Immaculate Makilika - MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara za kiwango cha lami katika mji wa Serikali utakaogharimu zaidi ya bilioni 89 ikiwa ni ahadi aliyotoa mara baada ya kutangaza Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi ili kutekeleza tamko alilolitoa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1973 zaidi ya miongo mine iliyopita.
Akizungumza leo Jijini Dodoma wakati akiweka jiwe la...

 

10 years ago

Michuzi

Zaidi ya shilingi Bilioni 20/- kuendelea kushindaniwa katika promosheni ya JayMillions

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa(katikati)akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni (hawapo pichani)wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya JayMillions,Wengine katika picha kushoto ni Balozi wa Promosheni hiyo Hilary Daud”Zembwela” na kulia ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.
Uwezo Magendege, 22, ni mshindi wa kwanza wa zawadi nono ya siku ya pesa taslimu Sh. 100m/- za promosheni iliyozinduliwa siku 19 zilizopita na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom...

 

10 years ago

GPL

ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 20/- KUENDELEA KUSHINDANIWA KATIKA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS‏

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa (katikati)akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni (hawapo pichani)wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya JayMillions,Wengine katika picha kushoto ni Balozi wa Promosheni hiyo Hilary Daud”Zembwela” na kulia ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Matina Nkurlu. Dar es Salaam, Tanzania, Februari 3, 2015: Uwezo Magendege, 22, ni mshindi wa kwanza wa zawadi nono ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani