Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yadaiwa kugawa eneo kwa wawekezaji

Wamiliki wa viwanja 235 katika Kijiji cha Kichangani, eneo la viwanda, wamegoma kuondoka katika eneo hilo walilopewa wawekezaji kwa madai kuwa awali, Serikali iliwahamisha Mwambani kupisha ujenzi wa kituo kikubwa cha reli na kuwagawia viwanja hivyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

10 years ago

StarTV

Serikali kuweka vivutio vingi kwa wawekezaji.

Na Grace Semfuko,

Dar es Salaam.

 

Serikali imesema ipo haja ya kuangalia uwezekano wa kuweka vivutio vingi kwa wawekezaji ili waweze kuingia kwa wingi kuwekeza kwenye sekta za bandari na utalii nchini.

 

 

Hatua hiyo itasaidia kuboresha miundombinu ya uwekezaji kwenye sekta hizo ikiwa ni pamoja na kuongeza ajia na pato la Taifa.

 

 

Jebel Alli Free Zone ni bandari kubwa nchini Dubai ambayo inahudumia mizigo inayoingia na kutoka nchini humo, wanaoendesha Bandari hii ni wawekezaji ambao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kikosi cha KVZ hakijavamia eneo la wawekezaji

unnamed (25)

                           Na Miza Kona na Maryam Kidiko-Maelezo Zanzibar                             

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ) hakijavamia eneo la Mwekezaji wa Kiwanda cha Sukari Mahonda.

Hayo yamesemwa leo huko Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Mhe. Haji Omar Kheri (pichani) wakati akijibu suala la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Mhe. Jaku...

 

10 years ago

Michuzi

WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA ENEO LA VIWANDA WILAYANI KISARAWE MKOANI PWANI

 Kibao kinacho elekeza eneo la mradi wa viwanda wilayani Kisarawe mkoani Pwani lililopo Visegese. Mradi huo unaendeshwa na Halmshauri hiyo na wabia wa Kampuni ya World Map Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Brendan Maro (kushoto), akizungumza na viongozi wa Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe,  Wabia wa eneo la mradi wa Kampuni ya World Map  na wawekezaji kutoka nchini China waliofika wilayani humo jana kuangalia fursa za kuwekeza viwanda katika eneo hilo....

 

10 years ago

GPL

WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA ENEO LA VIWANDA WILAYANI KISARAWE MKOANI PWANI‏

 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Brendan Maro (kushoto), akizungumza na viongozi wa Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe,  Wabia wa eneo la mradi wa Kampuni ya World Map  na wawekezaji kutoka nchini China waliofika wilayani humo jana kuangalia fursa za kuwekeza viwanda katika eneo hilo. Kulia ni Ofisa Mipango Miji Mwandamizi kutoka TIC, Elibariki Ngorovily.  Wawekezaji kutoka China...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali ya Comoro yakabidhi eneo kwa Ubalozi Tanzania nchini humo

Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro,Mhe. El-Anrif Said Hassane amekabidhi rasmi eneo lililototewa na Serikali ya Comoro kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni. 
Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika Wizara ya Mambo ya Nje ya Comoro ambapo Mhe. Waziri El-Anrif amemkabidhi Mhe. Chabaka F. Kilumanga, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro, funguo za majengo matatu yaliyopo katika eneo hilo....

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yadaiwa Sh bil 15 ankara za maji

Profesa Jumanne Maghembe.WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, amesema mamlaka za maji na mashirika yanayotoa huduma za maji nchini, yanaidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 15 na wadaiwa wakubwa ni vyombo vya ulinzi na usalama.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yadaiwa kuyatelekeza majengo yake

Serikali imedaiwa kuyatelekeza majengo ya iliyokuwa kambi na Hospitali ya Ukoma kwa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yaliyopo katika kijiji cha Bugoma kata ya Kisondela wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Kutelekezwa kwa majengo hayo kwa miaka mingi iliyopita kumetokana na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa maambukizi ya ugonjwa wa ukoma unaosababisha ulemavu ambao waathirika wake ndio waliokuwa wakiishi katika kambi hiyo. Majengo hayo ambayo yanaonekana ni imara na yanaweza kutumika kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yadaiwa kupoteza Dola 581

Serikali imedaiwa kupoteza Dola za Kimarekani 581 milioni kila mwaka kutokana na ununuzi wa dawa za virutubisho vya madini kwa watoto chini ya miaka mitano na wanawake nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani