Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikosi cha KVZ hakijavamia eneo la wawekezaji

unnamed (25)

                           Na Miza Kona na Maryam Kidiko-Maelezo Zanzibar                             

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ) hakijavamia eneo la Mwekezaji wa Kiwanda cha Sukari Mahonda.

Hayo yamesemwa leo huko Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Mhe. Haji Omar Kheri (pichani) wakati akijibu suala la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Mhe. Jaku...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali yadaiwa kugawa eneo kwa wawekezaji

Wamiliki wa viwanja 235 katika Kijiji cha Kichangani, eneo la viwanda, wamegoma kuondoka katika eneo hilo walilopewa wawekezaji kwa madai kuwa awali, Serikali iliwahamisha Mwambani kupisha ujenzi wa kituo kikubwa cha reli na kuwagawia viwanja hivyo.

 

10 years ago

Michuzi

WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA ENEO LA VIWANDA WILAYANI KISARAWE MKOANI PWANI

 Kibao kinacho elekeza eneo la mradi wa viwanda wilayani Kisarawe mkoani Pwani lililopo Visegese. Mradi huo unaendeshwa na Halmshauri hiyo na wabia wa Kampuni ya World Map Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Brendan Maro (kushoto), akizungumza na viongozi wa Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe,  Wabia wa eneo la mradi wa Kampuni ya World Map  na wawekezaji kutoka nchini China waliofika wilayani humo jana kuangalia fursa za kuwekeza viwanda katika eneo hilo....

 

10 years ago

GPL

WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA ENEO LA VIWANDA WILAYANI KISARAWE MKOANI PWANI‏

 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Brendan Maro (kushoto), akizungumza na viongozi wa Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe,  Wabia wa eneo la mradi wa Kampuni ya World Map  na wawekezaji kutoka nchini China waliofika wilayani humo jana kuangalia fursa za kuwekeza viwanda katika eneo hilo. Kulia ni Ofisa Mipango Miji Mwandamizi kutoka TIC, Elibariki Ngorovily.  Wawekezaji kutoka China...

 

9 years ago

Michuzi

Kikosi cha muziki mnene cha EFM 93.7 chatoka sare na mlandizi veteran

 Timu ya soka ya Muziki Mnene ya EFM 93.7 (jezi nyeupe) wikiendi iliyopita ilikuwa Mlandizi mkoani Pwani kucheza mchezo wa kirafiki na Mlandizi Veteran ambapo matokeo yalikuwa 0-0. Hiyo ni katika mwendelezo wa kupeleka muziki mnene wa kituo hicho machachari cha redio kwa wananchi, Nahodha wa Muziki Mnene Dennis Ssebo akiongoza kikosi kazi chake kusalimiana na wenyeji wao Mlandizi veterans kabla ya kuanza kwa mtanange wao huko MlandiziWananchi wakishudia mpambano wa Muziki Mnene na Mlandizi...

 

5 years ago

Bongo5

Hiki ndio kikosi cha PFA cha wachezaji 11 bora Uingereza msimu huu

Chama cha wachezaji soka wakulipwa Uingereza (PFA) kimetaja kikosi chake bora cha ligi hiyo kwa msimu huu unaoelekea ukingoni.

Timu ya Chelsea na Tottenham Hotspurs ndizo zimeongoza kutoa wachezaji wengi katika kikosi hicho ambapo kila timu imetoa wachezaji wanne. Wachezaji wa Chelsea walioingia katika kikosi hicho ni pamoja na Gary Cahil, David Luiz, N’golo Kante na Eden Hazard.

Nao waliochaguliwa kutoka Spurs ni Kyle Walker, Danny Rose, Dele Alli na Harry Kane. Wachezaji wengine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani